kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 314
- 1,121
Aman iwe juu wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Babu kale kamnyonyoa vibaya sana mzee Wa kutafuta kiki kwenye misiba ya watu na majina ya watu
Mzee Wa kutembea pekupeku
Mzee asiye na soni
Mtu mzima hovyo
Kubwa jinga
Je kati yako hapo nan mkweli na muwaz kati ya tale na Mrisho mpoto?
Je kwa maon yako kati ya hao nani kaonesha kuwa hapend upuuz upuuz
Sent using Jamii Forums mobile app