Babu Tale amnyonyoa Mrisho Mpoto, amwambia aache kiherehere na kutafuta kiki

Sasa mbona nae anatafuta kiki kwa maneno ambayo hayakumuhusu yeye kwanini asi respond diamond alieambiwa?

Umeneja wake unafanya kazi akiwa wcb sio hadi mitandaoni na uraiani fala sana huyu pimbi. Mbona diamond alipo pigwa ban na basata hakubwatuka inamaana umeneja kaanza juzi?

Sent using unknown device
manager wa msanii haingilii chumbani tu diamond ili sense mahali lazima manager aandae bodyguards afanye uchambuzi wa madhala ya image ,na kujibu kwa niaba take ,hata ukitaka kuongea na diamond unaanzia kwake ,diamond hakwenda msibani kama anaenda kwa rafiki alienda kama msanii
 
Kamjibu vizuri sana.. Ila anauandshii mbovu sijawahi pata ona. Mfano hapa chini;
Ajaja= hajaja
Ajiri= Ajili
We= wewe
Izi = Hizi
 
Back
Top Bottom