Babu Seya, Papii Kocha wafungwa maisha - Soma hukumu

hapa ndipo ulipo udhaifu wetu mkubwa kwenye vyombo vya sheria, haiingii akilini kabisa kwa watu waliohukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa moja, lakini baada ya miaka saba wngine wakaonekana hawakuwa na hatia?, is very shame, hii ni kesi ya kutunga kwa asilimia mia
 
Inaweza kuwa kweli walibaka,maana wakongo bwana,walibaka labda ili wapate wateja kwenye mziki wao.Koffi anasemwa kwa kutembea na wachezashoo waake wote wa kike just coz apate wateja wa mziki wake,nenda kinshasa ukisimliwa vitendo vya kina PAPI IKIPA,Papan wemba na wanamziki wote unaweza amini kweli kina babu seya walibaka
 
Mamam weeeeeeeh,Mama weeeeeeeeeeeeeeeeeh mama weeeh,aisee nimelia sana hii issue.
 
Huyu mtoto mbona analia kwa uchungu jamani inasikitisha
1265878355_babu_seya_14.jpg
 
Sheikh yahya alisema wote wangetoka...

Utabiri wa mtabiri wetu umegonga mwamba.
kama wawili wametoka then kuna ukweli ndani yake!!! yawezekana kuna politics ndani na wale wakubwa wakaambiwa waendelee kukaa ndani!!! Labda Kabila awaombe wakatumikie kifungo kongo halafu huko atawasamehe baada ya muda!!!
 
Tutaongea sana na sana.... lakini tukumbuke kitu kimoja tu, hii kitu wengi walisema imepangwa!!! na kama kweli ilipangwa basi nasema tena kwa uhakika kwamba kuna mtu atavunja ukimya na ukweli utajulikana

wachache tunakumbuka jinsi baa la njaa la ethiopia linavyohusishwa na mateso ya haile sellasie... maafa ya rwanda, laana za congo etc.

damu ya mtu haiendi bure!!
 
Mimi sisemi neno katika hili.........mwanzoni walipofungwa jela niliwahi ku qustion credibility ya mahakama zetu. Hoja yangu ilikuwa strength of the evidence against Nguza & his family. Je ni kweli mahakama imethibitisha bila shaka yoyote kwamba wote wanne walifanya kitendo hicho???? Je yule mwalimu aliponaje katika hili?

Sihitaji kupewa majibu.............nilikuwa najikumbusha maswali niliyojiuliza miaka ileeeee!!

Nahisi sitosoma tena hii thread wala habari yoyote inayohusiana na hukumu hii......labda mpaka baada ya miaka 9 court of appeal itakapopitia hukumu hii kumtia hatiani yule mwalimu!!
 
Acha longolongo Rais hawezi kutoa msamaha kwa wabakaji na akifanya hivyo itabidi naye achunguzwe unajua inauma sana mwanao unamlea kwa nguvu zote linakuja jitu lingine linakuaribia mwanao,hapa bw hakuna cha ushauri wala nini afungwe tu na akiachiwa ndo hapo wanauchungu kama mimi huwa tunachukua sheria mkononi

Acha ushabiki usio kuwa na msingi! hivi inakujia akilini m2 mzima kama babu seya na papii wabake katoto ka miaka 6 - 11 tena wamwingilie nyuma na mbele aweze tembea??? hapo ulipo umri wako umwingile mtoto wa umri huo miaka 6 hadi 11 ataweza hata kunyanyuka tusiongee kwa ushabiki tu tuangalia na uhalisia wenyewe???
 
Acha ushabiki usio kuwa na msingi! hivi inakujia akilini m2 mzima kama babu seya na papii wabake katoto ka miaka 6 - 11 tena wamwingilie nyuma na mbele aweze tembea??? hapo ulipo umri wako umwingile mtoto wa umri huo miaka 6 hadi 11 ataweza hata kunyanyuka tusiongee kwa ushabiki tu tuangalia na uhalisia wenyewe???
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,watu wanaua wazazi wao ili wafanikiwe kimziki ije leo kubaka?Money Bwana unaweza kufanya kituko watu wakajiuliza mawaswali mianne kidogo.
 
Acha ushabiki usio kuwa na msingi! hivi inakujia akilini m2 mzima kama babu seya na papii wabake katoto ka miaka 6 - 11 tena wamwingilie nyuma na mbele aweze tembea??? hapo ulipo umri wako umwingile mtoto wa umri huo miaka 6 hadi 11 ataweza hata kunyanyuka tusiongee kwa ushabiki tu tuangalia na uhalisia wenyewe???

Tatizo hapa watanzania hawapendi kujua ukweli, mtu mzima kubaka mtoto inawezekana na wapo Watoto ambao wanabakwa kwa muda mrefu na wao watu wazima kama babu seya na mwanae. Tatizo letu watanzania/waafrica tunapenda kufanya vitu hivi siri na hatupendi kuraise awareness kuhusu jambo hili la wabakaji wa Watoto na wanawake, hili jambo hatupendi kabisa kulisikia na wengine hata wanafikia kusema kwamba ohh mtoto au mwanamke akibakwa amejitakia..

Kuna statitics zipo za duniani ambazo kinaonyesha watu wanaobaka Watoto wengi wao ni wale walio close to them, kama family friends, uncles etc..

Sasa huu utetezi kwamba eti babu seya hawezi akabaka mototo na mototo akatembea is absolute bullshit, marando na nyie mnaotetea watu kutokana nahii fact inabidi mfanye uchunguzi wa kibaologia zaidi pia uchunguzi wa kesi nyingine za wabakaji wa Watoto etc
 
tatizo hapa watanzania hawapendi kujua ukweli, mtu mzima kubaka mtoto inawezekana na wapo watoto ambao wanabakwa kwa muda mrefu na wao watu wazima kama babu seya na mwanae. Tatizo letu watanzania/waafrica tunapenda kufanya vitu hivi siri na hatupendi kuraise awareness kuhusu jambo hili la wabakaji wa watoto na wanawake, hili jambo hatupendi kabisa kulisikia na wengine hata wanafikia kusema kwamba ohh mtoto au mwanamke akibakwa amejitakia..

Kuna statitics zipo za duniani ambazo kinaonyesha watu wanaobaka watoto wengi wao ni wale walio close to them, kama family friends, uncles etc..

Sasa huu utetezi kwamba eti babu seya hawezi akabaka mototo na mototo akatembea is absolute bullshit, marando na nyie mnaotetea watu kutokana nahii fact inabidi mfanye uchunguzi wa kibaologia zaidi pia uchunguzi wa kesi nyingine za wabakaji wa watoto etc

haingi akilini baba na watoto 3 mnapanga foleni kubaka watoto kwa kupokezana mchana kweupe na watoto wengine wakiangalia wenzao wanavyofanyiwa hata majirani wasisikie kelele za watoto wakilia, na mwalimu aliekuwa anawapeleka hao wanafunzi mbona aliachiwa kuwa hana hatia!!!!
Kumbuka sio wote waingia ao jela wanahatia elewa hilo ukisha likubali hilo ndipo utakalikubali na hili la babu seya na familia yake!!
 
Wakuu kweli haki imetendeka hapo? Maana naona kama kizunguzungu na kihindi
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,watu wanaua wazazi wao ili wafanikiwe kimziki ije leo kubaka?Money Bwana unaweza kufanya kituko watu wakajiuliza mawaswali mianne kidogo.

Sawa yawezekana m2 akauwa hata mwanae ili afanikiwe but hii ya babu seya ni kesi ya kupangwa, kama ni koso alilifanya why serikali isimrudishe nchini kwake CONGO??? SIO WOTE WALIO JELA WANA HATIA
 
Back
Top Bottom