sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,566
- 11,484
Ni kweli hata waliompinga lowasa kwa ufisadi ndio hao hao waliomzungushia mikonowaliopinga miaka miwili iliyopita wengi ni wale wale wanaosifia Leo...
Ni kweli hata waliompinga lowasa kwa ufisadi ndio hao hao waliomzungushia mikonowaliopinga miaka miwili iliyopita wengi ni wale wale wanaosifia Leo...
Main question, did Mr . president breach the law ??saflii.org/tz/cases/TZHC/2005/4.pdf …
Kuna shida mahali. Tunahitaji kumwombea Sana Rais na washauri wake.
mr mkiki
Naskia mdogo wake shoza msagaji na Shaka wa UVCCM kaolewa jamani CCM dahFriends of Lowasa na Chadema wamepata pigo sana..kete yao ya mwisho ya kufanyia kampeni 2020 nayo imepokwa..hapo Bado mtu wa Nairobi hospital hajaongea
mimi kwenye mada yngu jina la lowasa sina sema tu kama unataka ujitoe ufahamuNi kweli hata waliompinga lowasa kwa ufisadi ndio hao hao waliomzungushia mikono
Mheshimiwa raisi hajavunja sheria yoyte. Uwezo wake wa kusamehe wafungwa ni absolute. Hauna kizuizi chochote kwa kosa lolote.Main question, did Mr . president breach the law ??
mimi kwenye mada yngu jina la lowasa sina sema tu kama unataka ujitoe ufahamu
Mheshimiwa raisi hajavunja sheria yoyte. Uwezo wake wa kusamehe wafungwa ni absolute. Hauna kizuizi chochote kwa kosa lolote.
Mahakama zipo huru?Hoja yako hapa ni nini?!
Msamaha ni msamaha tu. Hata kama hio sheria imetoka mbinguni, rais ametumia madaraka yake...Main question, did Mr . president breach the law ??
Na wale walioua walioachiwa huru zile familia za waliouliwa ndg zao wanajisikiaje? Au ni Babu Seya pekee ndio ametenda kosa lisilostahili msamaha?Uchungu wa mwana aujuaye mzazi..sipati picha namna wazazi wa wale watoto walivyo jisikia hiyo jana
Wazazi wa watoto wanaujua ukweli na hawana wasiwasi na msamaha huo, kwa kuwa walizibwa midomo na kupandikizwa "ndiyo ya mtutu" midomoni mwao.Uchungu wa mwana aujuaye mzazi..sipati picha namna wazazi wa wale watoto walivyo jisikia hiyo jana
Mahakama ziko huru kabsa..at least kwa sura ya nje.Mahakama zipo huru?
News Alert: - Kama ningekuwa na uwezo hii kesi ingechunguzwa ili ijulikane kama babu seya alionewa au alistahili kufungwa.Mahakama ziko huru kabsa..at least kwa sura ya nje.
Lakin linapokuja swala la msamaha wa wafungwa....katiba inampa raisi mamlaka yasiyokuwa na ukomo. Yaan anaweza kumsamehe yeyote kosa lolote wakati wowote kwa masharti au bila masharti yoyote. Rejea katiba ya JMWT ibara ya 45(1)na (2) na fafanuzi zake.
Kwa maneno mengine....katika swala la wafungwa...raisi ni kama Mungu....anaweza kuwasamehe kwa jinsi anavoona yeye raisi ama kwa kushauriwa au bila kushauriwa.
Lakin ieleweke wazi kuwasamehe wafungwa haimaanishi hawakufanya makosa waliyotiwa nayo jela. Ni msamaha kama ilivo misamaha mingine ya kijamii.
Acha upumbafu! Kama rais anatekeleza ilani ya upinzani kuna shida gani? Bado mashehe wa uamsho mkumbushe na hilo nyambafuu!Friends of Lowasa na Chadema wamepata pigo sana..kete yao ya mwisho ya kufanyia kampeni 2020 nayo imepokwa..hapo Bado mtu wa Nairobi hospital hajaongea
Kama hoja ni kufungua uchunguzi...hila nadhan ukiwakilisha ombi kwa tume ya haki za binadamu na utawala bora huenda wakawa na la kufanya.
nipe kifungu cha sheriaKama hoja ni kufungua uchunguzi...hila nadhan ukiwakilisha ombi kwa tume ya haki za binadamu na utawala bora huenda wakawa na la kufanya.
Maoni yangu yamenijikita kwenye mamlaka ya raisi kusamehe au kutosamehe mfungwa.
Cha kifungu kwa ajili ya kufungua uchunguzi au msamaha wa raisi?!nipe kifungu cha sheria