Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Kwa wale mliokuwa mnamjua Ernest Babu Sambeke Mallya ni kuwa atazikwa kesho nyumbani eneo la Karanga Moshi. Safari yake kuelekea moshi inaanza Arusha muda si mrefu.
Baada ya mwili kuwasili pale nyumbani kwake ndugu jamaa na marafiki watapewa nafasi ya kuuaga mwili (wengine mnasema heshima za mwisho) na mwili huo utaendelea kuwepo hapo mpaka kesho saa 7 mchana. Itafuata ibada ya mazishi kabla ya mazishi kufanyika saa 10 jioni.
Tutaendealea kuwapa updates kadiri itakavyoruhusu