Babu na Bibi...!.

Babu na Bibi...!.

Na sikioni kwa babu kuna mtu

Yes kuna bint anaskiliza mirindimo ya babu mkuu kasimama mlangoni huku kwa bibi nae kabeba chungu kichwani na ana chupa ya pombe anaskiliza mirindimo ya babu pia.
 
Yeah ni sikio halafu ni kama mlango

Yes ni kweli mkuu at the same time hizo kuta za mlango ukitazama uzuri utaweza kuona kuwa ndio mvi za babu na huo mlango ni kama sikio mkuu...!.
 
Na kwenye sura ya bbi ,pua ni mtu na mtu kabeba mtungi

Yes pua ni mkono wa huyo mtu then goti ndio kidevu na mdomo ndio mkanda wa kiunoni wa huyo aliyekaa.
 
Back
Top Bottom