Babu na Bibi...!.

kumbe mkizeeka mnafanana
Amavubi unajua hapo ni picha mbili kwa tatu zenye watu watano!? Angalia vizuri utaona
1.picha ya kwanza ni wazee wawili wameangaliana
2.picha ya pili jamaa anapiga zumari na kwa nyuma yake kuna binti kasimama huku mbelekuna mwanamke anasikiliza akiwa amekaa
3. Kuna binti kasimama mlangoni kwenye kibanda nyuma ya jamaa
 
Last edited by a moderator:
mshana jr wewe kiboko. Pia kuna picha ya kombe, linaonakana kati ya hizi sura mbili za hawa wazee.
 
Last edited by a moderator:
umetishaaaa hivi huwa unazitoa wapi picha zako mkuu...
 

Nilishakwambia itabidi uwe Mshana Senior this time.............100% right kiongozi,KUDOS.
 
Last edited by a moderator:

Ukiangalia Kwa jicho la tatu.....
 
Last edited by a moderator:
Na kwenye sura ya bbi ,pua ni mtu na mtu kabeba mtungi
 

Hongera sana mkuu
 
Last edited by a moderator:

Nimeona uko vizuri aisee....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…