Babu Loliondo Apimwe Akili

Babu Loliondo Apimwe Akili

Mwera wewe naona ndo unapaswa kupimwa akili Yaani babu ashtakiwe wakati Hao wakumshtaki ndo wa kwanza kupata kikombe???????????????
 
Technology wewe naona ndo unapaswa kupimwa akili Yaani babu ashtakiwe wakati Hao wakumshtaki ndo wa kwanza kupata kikombe???????????????
 
kweli kabisaaa,mtu anayesumbuliwa na halucinations ni mgonjwa wa akili,pia ana delusional beliefs kwamba yeye ana superior powers ni charasteristics za pyschosis....bahati mbaya haya magonjwa ya akili hayajapewa mwanga wa kutosha ndio maana babu wa watu kapewa attention zaidi badala ya kupata medical attention.:alien:


acha kumeza wewe medical student.elewa...na ujue Kuna Mungu pia.
 
sipati picha siku ikijulokana babu alikuwa na matatizo ya akili hhahahaahaaaaah!
Itabidi wote ikiwemo wewe pamoja na waliokutuma mkapimwe akili maana mna dalili zate za ukichaa
 
Smellie smelling thread!
Hakuna hata pumba kwny hii thread, maana pumba zina faida ya kulisha nguruwe!
Kama una wajukuu wahi nyumbani ukacheze nao!

Umeniacha hoi!!!!!!!!, you really made my day
 
Back
Top Bottom