Kwani jamani Loliondo mmelazimishwa kwenda? Si nyie wenyewe ndiyo magonjwa yenu ndiyo yanayowapeleka kwake, yeye ameshasema hakubandika bango popote pale ila ni uponyaji wake! Hakuna sababu ya kumpima akili, ila kama utaki usiende.
Na sipati picha iwapo iatagundulika dawa ya babu kumbe ni sumu inayodhuru taratibu!!!!!!!sipati picha siku ikijulokana babu alikuwa na matatizo ya akili hhahahaahaaaaah!
ukweli unaujua, ila unatafuta wa kubishana na wew, humpati ng'oooo.naunga mkono hoja , anaebisha aje hapa na hoja bila jazba, babu apimwe akili
wote walioenda na babu wanahitaji kupimwa akili
ila hao wagonjwa understandably wameenda out of desperation!
Contradicting statement.........kwani kuna mtu amekwenda kwa babu huku akiwa mzima? wote wanakwenda out of desperation.....hawaamini tena mfumo wa tiba wa kisayansi......wamekata tamaa na hospitali zetu!
Wamekata tamaa na hospitali zetu kwamba haziwatibu au wamekata tamaa kwa kuwa hakuna dawa ya magonjwa yao?
Hivi Serikali imefanya initiative zozote kumpima akili Mchungaji Mwasapile na je ni mtu anaetumia madawa ya kulevya au laa. Ni hatari saana kumuacha aendelee na huo mchezo wa kuwapa watu dawa ambayo inaweza kuja kuathiri afya za watu
Hapo umenena Mzee wa Upembuzi!Kwani jamani Loliondo mmelazimishwa kwenda? Si nyie wenyewe ndiyo magonjwa yenu ndiyo yanayowapeleka kwake, yeye ameshasema hakubandika bango popote pale ila ni uponyaji wake! Hakuna sababu ya kumpima akili, ila kama utaki usiende.
Kwanini hutaki apimwe? maana tutajua kama yuko sawa au la. Ukizingatia hatuwezi pima dawa yake, the best to be done ni kumpima yeye.Maana naweza akwa " aliota alichokiota" je aliota sahih?.
Kati ya babu na serikali ikiwa ni pamoja na wewe ni nani wa kupimwa akili?
Waandamizi wa jk wameshapata kikombe na sasa ni zamu ya waandamizi wa Kibaki kama ulivyowashuhudia kwenye foleni kuanzia .ajuzi.
Kwa uzoefu wako wewe, katika mambo yahusuyo imani ni nani aliwahi kupimwa akili?
.
magonjwa yao? how far are you sure that you are 100% healthy? kila mtu ni mgonjwa mtarajiwa iwe wa ukimwi, kisukari, kansa ha hata pressure. ni sawa na kumshangaa mtu aliyeko jela ukisahau everyone is a potential prisoner. The momement you try to put yourselves in the shoes of all these people going to loliondo you will understand how it is to be sick or to have someone dear to you suffering in pain. Bila kulijua hilo mtawaita majina yote, wagonjwa wa akili, wajinga, desperate n everything. But just remember, ajidhanie amesimama na ajiangalie asianguke maana kabla hujafa bado hujaumbika.
Hivi Serikali imefanya initiative zozote kumpima akili Mchungaji Mwasapile na je ni mtu anaetumia madawa ya kulevya au laa. Ni hatari saana kumuacha aendelee na huo mchezo wa kuwapa watu dawa ambayo inaweza kuja kuathiri afya za watu