we unalalamikia sh 500 wakati serikali inaingiza fedha nyingi sana kwa sababu ya ushuru unaotozwa na halmashauri ya wilaya ya Loliondo,pia kuna watu wengi wanaotoka nje ya nchi na kuingizia nchi fedha za kigeni,cha muhimu ni kuweka mazingira mazuri kwa watu wanaoenda huko bila kujalisha kwamba wanapona au hawaponi,pia ni kama utalii wa ndani kwa upande mwingine