Babu Duni ajenda yako nini dhidi ya CHADEMA?!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,738
3,198
Nimesoma kwenye vyombo vya habari Mh.Juma Duni Haji aliyekuwa mgombea mwenza wa Lowasa kwa tiketi ya CHADEMA.

Akilalamika kuhusu siasa za ndani ya CHADEMA kwenye media baada ya kurudi CUF.

Kwanza alidai ndani ya CHADEMA kila mwanachama anasharubu,kwa maana kiongozi wa ngazi ya chini anaweza kupinga maamuzi ya ngazi za juu.

Pili leo nimesikia tena anadai ndani ya CHADEMA kuna siasa za ubinafsi(kujali maslahi yao) kuliko wengine/vyama vingine.

Yawezekana yote hayo ni kweli kwakuwa hakuna chama kisichokuwa na mapungufu (mfano CUF toka imeanzishwa nafasi ya katibu mkuu imeshikiliwa na MAALIM S.S.HAMAD,sio kila mtu anafurahia hilo wanaona ni kasoro lakini wapo kimyaa kulinda maslahi Mapana ya CUF.

Hizi habari zinazozagaa kwenye media hazijakanushwa na Babu Duni, inatufanya tuamini kuwa ni kweli kasema.

lkwa kiongozi mkubwa wa kitaifa kama Babu Duni naamini anapaswa kuwa makini katika ukosoaji wa siasa za ndani ya chama wanachoshirikiana UKAWA kupitia kwenye media badala ya ushauri katika vikao vya ndani au viongozi wakuu wa CHADEMA wenye ushawishi.

Vinginevyo anaweza kujikuta anaungana na akina ZZK kubomoa chama ambacho yeye pia ana maslahi nacho katika check and balance dhidi ya serikali ya CCM.

Mchango wake unaheshimika/kukubalika katika uchaguzi wa 2015.keep your legacy Babu Duni,Dont mess! your common enemy is Tanzanian poverty.

Haya tu.ni mtizamo wangu.Maoni tofauti yanakaribishwa.
 
Hapo wakujilaumu ni cdm kwa kucheza karata zao vibaya. Mimi kama mimi ninaamini cdm tayari walikuwa wanaweza kura nyingi tu bila hata kushirikiana na chama chochote. Muungano ni kitu kizuri lakini bila kuangalia unayeungana naye ana utashi gani kwenye huo muungano ni kama kujichanganya tu. Hata wasingempokea EL na huyo Duni bado cdm ingetapa kura nyingi sana.
 
sio kwa babu duni tu,mimi mtuyoyote awe ccm, cdm, cuf, mwanamuziki, mke, mume au mtu yoyote kutoka mahali fulani au kuachana na mtu/watu fulani na kwenda kujiunga kwa wengine halafu ukayatoa yale maneno au ishu mlizo ongea au kufanya ndani halafu ukazitoa nje, dah nakuona upo low sana yaani hufai na huna loyalty yoyote na ni sumu kubwa hata huko aendako,
hata ukipata demu au mfanyakazi au mtu ambaye muda upo nae anaanza kuanika ya kule alikotoka hadharani huyo ni wa kuepuka,
napenda sana watu discreet sio wenye domo
 
Huyu Mzee sijui anataka kutuaminisha nini baada ya yeye kutoka Chadema na Kurejea CUF,isije kuwa bado kuna wapinzani ambao wanafanya kazi na CCM,kwa lengo la kubomoa upinzani historia inatukumbusha watu kama hawa wapo iko wapi NCCR ya kina Marando,iko wapi TLP ya Mrema,iko wapi UDP ya Cheyo isije kuwa huyu Mzee ata kule CUF yupo kwa lengo Makhsusi ili kudhoofisha upinzani.
 
Mwambie aachane na mambo ya siasa za majitaka apige kazi inchi isonge mbele,kuongea kwenye media kila siku hakutabadilisha mambo yaliyopita tayari.
 
sio kwa babu duni tu,mimi mtuyoyote awe ccm, cdm, cuf, mwanamuziki, mke, mume au mtu yoyote kutoka mahali fulani au kuachana na mtu/watu fulani na kwenda kujiunga kwa wengine halafu ukayatoa yale maneno au ishu mlizo ongea au kufanya ndani halafu ukazitoa nje, dah nakuona upo low sana yaani hufai na huna loyalty yoyote na ni sumu kubwa hata huko aendako,
hata ukipata demu au mfanyakazi au mtu ambaye muda upo nae anaanza kuanika ya kule alikotoka hadharani huyo ni wa kuepuka,
napenda sana watu discreet sio wenye domo
Tabia za ki snitch hizi! Mzee anaboa! sijui analipwa na nani kwa anachokifanya
 
Nimesoma kwenye vyombo vya habari Mh.Juma Duni Haji aliyekuwa mgombea mwenza wa Lowasa kwa tiketi ya CHADEMA.

Akilalamika kuhusu siasa za ndani ya CHADEMA kwenye media baada ya kurudi CUF.

Kwanza alidai ndani ya CHADEMA kila mwanachama anasharubu,kwa maana kiongozi wa ngazi ya chini anaweza kupinga maamuzi ya ngazi za juu.

Pili leo nimesikia tena anadai ndani ya CHADEMA kuna siasa za ubinafsi(kujali maslahi yao) kuliko wengine/vyama vingine.

Yawezekana yote hayo ni kweli kwakuwa hakuna chama kisichokuwa na mapungufu (mfano CUF toka imeanzishwa nafasi ya katibu mkuu imeshikiliwa na MAALIM S.S.HAMAD,sio kila mtu anafurahia hilo wanaona ni kasoro lakini wapo kimyaa kulinda maslahi Mapana ya CUF.

Hizi habari zinazozagaa kwenye media hazijakanushwa na Babu Duni, inatufanya tuamini kuwa ni kweli kasema.

lkwa kiongozi mkubwa wa kitaifa kama Babu Duni naamini anapaswa kuwa makini katika ukosoaji wa siasa za ndani ya chama wanachoshirikiana UKAWA kupitia kwenye media badala ya ushauri katika vikao vya ndani au viongozi wakuu wa CHADEMA wenye ushawishi.

Vinginevyo anaweza kujikuta anaungana na akina ZZK kubomoa chama ambacho yeye pia ana maslahi nacho katika check and balance dhidi ya serikali ya CCM.

Mchango wake unaheshimika/kukubalika katika uchaguzi wa 2015.keep your legacy Babu Duni,Dont mess! your common enemy is Tanzanian poverty.

Haya tu.ni mtizamo wangu.Maoni tofauti yanakaribishwa.
Ikiwa ni kweli Duni amesema hayo katika media mbona hatujasikia Chadema kutoa tamko?
 
Mpeni chake atulie bila hivyo kwa msimamo wa babu yangu atawachambua sana si kwa nia njema lakini kwa lengo la kufikisha ujumbe dhidi ya dhuluma za cdm hasa kwa kuwa inaeleweka kuwa cdm ilikuwa na mkakati wa kuuwa nguvu ya vyama vya upinzani nchini ili wabaki wenyewe na wengine wakubali kujiunga nao na hivyo watoe mgombea atakayepigiwa kampeni kuanzia ngazi za uenyekiti wa mitaa hadi rais. Cuf wamelisoma hilo mapema. Hongera Duni na hongera Cuf japo mmechelewa kulitambua hilo.
 
Lakini mkumbuke mlimwimbia mapambio na nyimbo zote wakati anakuja Chadema
 
Ikiwa ni kweli Duni amesema hayo katika media mbona hatujasikia Chadema kutoa tamko?
Huwezi kukimbilia kutoa tamko katika kila unachosikia mtu aliyehama chama chenu anasema.mengine yanazua malumbano na kukibomoa zaidi chama,unaamua kumpuuza mhusika.
 
Back
Top Bottom