njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,259
- 7,108
Hapo wakujilaumu ni cdm kwa kucheza karata zao vibaya. Mimi kama mimi ninaamini cdm tayari walikuwa wanaweza kura nyingi tu bila hata kushirikiana na chama chochote. Muungano ni kitu kizuri lakini bila kuangalia unayeungana naye ana utashi gani kwenye huo muungano ni kama kujichanganya tu. Hata wasingempokea EL na huyo Duni bado cdm ingetapa kura nyingi sana.
Bila kuungana na CUF zanzibar wasingepata kura nyingi vile... kwa hiyo muungano umewabeba katika ngazi ya Urais kupata kura za visiwani..