watu wanahainga kujiimarisha na umoja wa katiba ya wananchi yeye from no where anaropoka ujinga, ingekua bora angeongea kwenye vikao vya ndani!kazi anayoifanya haina tija kwa umoja wa upinzani
Inavyoonekana hata huko CUF sio salama? Kwani huyo Duni ana cheo gani mpaka awe anasikika kwenye vyombo vya habari wakati uongozi wa CUF upo? Au CUF kila mtu ni kambare?labda Babu Duni atuambie atakuwa anajua.
Naona nako kila mtu anasharubu ndefu pia.....[emoji1] [emoji2]Inavyoonekana hata huko CUF sio salama? Kwani huyo Duni ana cheo gani mpaka awe anasikika kwenye vyombo vya habari wakati uongozi wa CUF upo? Au CUF kila mtu ni kambare?
[emoji41] comrade umekosea mwenye mamlaka hayo ni mmoja tu, utakutana naye very soon uncle wako akija kwa ajili yako!!ushindwe na ulegee! nafuta kauli yako kwa mamlaka niliyonayo.[emoji1] [emoji12]
Maovu na mwanga havipataniHuyu Mzee sijui anataka kutuaminisha nini baada ya yeye kutoka Chadema na Kurejea CUF,isije kuwa bado kuna wapinzani ambao wanafanya kazi na CCM,kwa lengo la kubomoa upinzani historia inatukumbusha watu kama hawa wapo iko wapi NCCR ya kina Marando,iko wapi TLP ya Mrema,iko wapi UDP ya Cheyo isije kuwa huyu Mzee ata kule CUF yupo kwa lengo Makhsusi ili kudhoofisha upinzani.
Giza na nuru havikai pamoja....kwa sasa maovu yote yalifanywa na DJ pamoja na Luwasa na genge lake....yatajulikana tu.Tuweke akiba ya maneno.Nimesoma kwenye vyombo vya habari Mh.Juma Duni Haji aliyekuwa mgombea mwenza wa Lowasa kwa tiketi ya CHADEMA.
Akilalamika kuhusu siasa za ndani ya CHADEMA kwenye media baada ya kurudi CUF.
Kwanza alidai ndani ya CHADEMA kila mwanachama anasharubu,kwa maana kiongozi wa ngazi ya chini anaweza kupinga maamuzi ya ngazi za juu.
Pili leo nimesikia tena anadai ndani ya CHADEMA kuna siasa za ubinafsi(kujali maslahi yao) kuliko wengine/vyama vingine.
Yawezekana yote hayo ni kweli kwakuwa hakuna chama kisichokuwa na mapungufu (mfano CUF toka imeanzishwa nafasi ya katibu mkuu imeshikiliwa na MAALIM S.S.HAMAD,sio kila mtu anafurahia hilo wanaona ni kasoro lakini wapo kimyaa kulinda maslahi Mapana ya CUF.
Hizi habari zinazozagaa kwenye media hazijakanushwa na Babu Duni, inatufanya tuamini kuwa ni kweli kasema.
lkwa kiongozi mkubwa wa kitaifa kama Babu Duni naamini anapaswa kuwa makini katika ukosoaji wa siasa za ndani ya chama wanachoshirikiana UKAWA kupitia kwenye media badala ya ushauri katika vikao vya ndani au viongozi wakuu wa CHADEMA wenye ushawishi.
Vinginevyo anaweza kujikuta anaungana na akina ZZK kubomoa chama ambacho yeye pia ana maslahi nacho katika check and balance dhidi ya serikali ya CCM.
Mchango wake unaheshimika/kukubalika katika uchaguzi wa 2015.keep your legacy Babu Duni,Dont mess! your common enemy is Tanzanian poverty.
Haya tu.ni mtizamo wangu.Maoni tofauti yanakaribishwa.
Sikumtegemea mtu mzima kama huyu kuongea maneno kama hayo. Huyu bwana hana siri? Huyu kama ni kweli kazungumza hayo maneno nimempuuza kweli kweli. Mbona alisema ameenda shule? Duh! Kama ni kweli hana maana na tena amejidhalilisha sana. Chadema wala wasimjibu bali wampuuze.sio kwa babu duni tu,mimi mtuyoyote awe ccm, cdm, cuf, mwanamuziki, mke, mume au mtu yoyote kutoka mahali fulani au kuachana na mtu/watu fulani na kwenda kujiunga kwa wengine halafu ukayatoa yale maneno au ishu mlizo ongea au kufanya ndani halafu ukazitoa nje, dah nakuona upo low sana yaani hufai na huna loyalty yoyote na ni sumu kubwa hata huko aendako,
hata ukipata demu au mfanyakazi au mtu ambaye muda upo nae anaanza kuanika ya kule alikotoka hadharani huyo ni wa kuepuka,
napenda sana watu discreet sio wenye domo
Akamwombe Hamadi waziri wa kilimo kilimo Zenj kazi.HUYU MDINGI ANATAFUTA PA KWENDA NA KIKI HAHAHAH IMEKULA UPANDE WAKE
Alisha waambia kama mna ushahidi mwende mahakamani .Giza na nuru havikai pamoja....kwa sasa maovu yote yalifanywa na DJ pamoja na Luwasa na genge lake....yatajulikana tu.Tuweke akiba ya maneno.
Tunaona wanaotumbuliwa na wanaopelekwa mahakamani kwa rushwa wengi wanatoka chama pendwa sijui unalizungumziaje hili?Maovu na mwanga havipatani
aka acha ujinga toka lini Duni akafanya kazi na CCM,nyie kila mtu anayetoa yake hadharani ni CCM,hiyo si ndio demokrasia na ni haki yake ,kumbe mnataka kuficha uozo,ukipenda kusifiwa uwe tayari pia kusikia yale usiyoyataka kuyasikia hiyo,na bado tutayasikia mengi.Huyu Mzee sijui anataka kutuaminisha nini baada ya yeye kutoka Chadema na Kurejea CUF,isije kuwa bado kuna wapinzani ambao wanafanya kazi na CCM,kwa lengo la kubomoa upinzani historia inatukumbusha watu kama hawa wapo iko wapi NCCR ya kina Marando,iko wapi TLP ya Mrema,iko wapi UDP ya Cheyo isije kuwa huyu Mzee ata kule CUF yupo kwa lengo Makhsusi ili kudhoofisha upinzani.
Pimbi wewe unakurupuka.K
aka acha ujinga toka lini Duni akafanya kazi na CCM,nyie kila mtu anayetoa yake hadharani ni CCM,hiyo si ndio demokrasia na ni haki yake ,kumbe mnataka kuficha uozo,ukipenda kusifiwa uwe tayari pia kusikia yale usiyoyataka kuyasikia hiyo,na bado tutayasikia mengi.
Ukawa umekufa..kwa sasa kila mtu anauguza vidonda!
Nyumbu uwezo wako mdogoPimbi wewe unakurupuka.
Hata Mimi nashangaaMh hivi bado kuna siasa!!
Kapokee buku 7 bwege wewe.Nyumbu uwezo wako mdogo
Wacha matusi,jadili hojaKapokee buku 7 bwege wewe.
Yawezekana kuna ukweliMpemba na Mchaga wanaunganishwa kwa fedha na wanatenganishwa kwa fedha.
Mchaga unaweza kumuachia Mke na ukamkuta salama ila sio Ruzuku ya kugawana