kama unadhani hakuna utofauti kwanini mahakama zisiwe za kidini.?
Umegusa sehemu mmoja tu ya ushahidi vp kuhusu hukumu.mfano sheria za kibinadamu kwa mlawiti ni kufungwa. za kiislam ni kuuwawa utofauti ni mkubwa sana.
Inamaana watoto wanaolawitiwa Mungu hawaoni.Ndio imani yetu imetuthibitishia kiama kipo na waovu wote motoni milele.Iweje sehemu mahakama za kiislam zinapohukumu kifo mnapiga kelele haki za binaadamu.
Mfano sheria ya kiislam ya kukata wizi mikono kwa Tanzania haiwezi kutendwa kwa sababu watu wake ni maskini.sheria hii inatumika tu kwa maeneo amboyo watu wake ni wenye uwezo wa kiuchumi.Cause mtu anaweza kuiba sababu ya njaa
kwa Gadafi. viongozi wangapi madhalimu wamepita katika dunia hii.Purukushani za mussa na Faraoh wazifahamu.unajua ni kwanini Mungu hutupa simulizi za zamani katika vitabu vyake.Gadafi hakua kiongozi katika nchi inayoongozwa kwa sheria za kiislam japo nchi imejaa waislam.je mwisho wake umeuona.Kiongozi dhalimu mwisho wake si mwema.Ni story ngapi za dhulma zilizotajwa na Mungu katika vitabu Vyake.
Hiyo NB yako ni kujitoa akili kwako kwani jibu nimeliweka .hili limenisikitisha kwani kama lengo lako ni kutengeneza fitna za mdomoni wewe si wakujifunza.
Je dunia hii si ya kuongozwa na sheria za Mungu
penye blue: mahakama sio za kidini kwakuwa watunga sheria na waathirika wa hizi sheria wanaimani mbalimbali zisizofanana, na utanzania bara ni nchi ya kisecular na aihusiani na uchumi wa nchi kama unavyoeleza.
kwani ni ajabu kuona sharia zinategemeana na uchumi. yaani nizi ni maalum kwa wenye uchumi mkubwa tu!! it's unbearable facts
. kwa imani yako usiweke sharia ya kukata mikono wezi kwasababu ya njaa yao. binafsi nionavyo kila anayeiba anayonjaa fulani katika maisha yake. je hii yaweza kugeuzwa kuwa excuse ya kutenda kosa na kutokuhukumiwa ipasavyo na sharia inavyotaka?
mkuu unazidi kuonyesha extremely incomplete sense in your faith. lakini kwenye ukristo hakuna kisingizio cha wizi, wizi ni dhambi tu, na atendaye inampasa jehanum ya moto
mlinganisho wa sheria za kidini na kiserikali.
kuhusu kuua mlawiti na kumfunga mlawiti inategemea na hao binadamu walivyokubaliana kulingana na katiba yao hao wanadamu. mfano china ufisadi unanyongwa, hivyo hatuwezi kuita hii ni sheria ya kidini kamwe.la hasha. eti kwakuwa huku kwetu na nchi zilizostaarabika hazinyongi. Sheria za nchi zinatungwa kwa mujibu wa utamaduni husika na kuangalia mambo mengi.ndio maana tunategemea nchi zenye waislamu wengi kuunda sharia za utamaduni wa kiislamu katika kuendesha nchi zao.
hapa unadai nakusikitisha ngoja nipaweke sawa mkuu:
kinachofanya sheria zenu kutotofautiana ni namna ya ku-thibitisha kosa kama limetendwa, kwani mbinu mtumiazo hazina tofauti nambinu katika mahakama za kidunia. kwani sharia mnaiita ni ya mungu lakini watoa hukumu ni binadamu
🙁ambao si ajabu na wao ni walawiti wazuri tuhata kadhi mwenyewe ila bado hamjawabaini).
na hapa utaona mambo makuu ma3 ama m4.
1. mbinu zinafanana, kwani bila kupata ushahidi mtenda kosa hana hatia. i.e r
ejea uliposema mpaka mashahidi wanne wathibitishe kosa. probably mtendakosa anaweza kuendelea kutenda kosa hilo kwa makusudi kwakuwa hakuna anayemwona ampeleke hukumuni, na akipita machoni penu anakuwa mcha Allah mzuri tu.
2. hapa mtuhumiwa aliyetenda kosa, katika kujitetea very likely anaweza kujaribu kuudanganya umma , Kadhi, na Allah wenu ili aepuke adhabu itakayomkabili kwa makosa yake:
kosa juu ya kosa. other-Ys kusingekuwa na haja kuwepo mashahidi wa kumtia hatiani mtuhumiwa
. mambo ambayo ni ya kawaida kwenye mahakama za kidunia
3. Allah wenu hana msamaha wala huruma kwa watu wake, anachokifanya ni kuwachinja na kuwakata mikono, miguu. na wakibainika hawapewi second chance ya kujipanga upya.: s
heria za kidunia mara nyingi zipo hivyo kwani ignorance is not an excuse for a crime. hivyo utahukumiwa tu, bila kujali kuwa hukujua kama ni kosa ama unaomba msamaha.
4. ipo possibility ya ma kadhi, umma, na mashahidi kwa ujumla wanaweza waka-sold out kwa mtenda kosa, ikiwa pale mtendakosa ni mkubwa kwenye nchi kama rais , tajiri, waziri mkuu, mkuu wa majeshi n.k. na hapa kupelekea kuwanyima haki waathirika, huku allah akishuhudia game zima.
kwahiyo ni wazi mambo mengi hayatekelezeki hata kwenye nchi kama tanzania ya kisecular, mwishowe imani yako inajidhihirisha kuwa ni incomplete religion kwenye hiki kifungu* ambacho nimegusia tu.
tukigusia kidogo kuhusu mwisho wa gadafi ;
kwa mujibu wa baibo; mshahara wa dhambi ni mauti.hapa utaona baibo ime-make sense complete and clear, ..ikiwa hukumkiri yesu na kutubia dhambi zako ili usamehewe inakupasa jehanum. yesu anasamehe wenye dhambi, na anatutaka tusameheane ili tusamehewe na mungu pia.(mungu katika kristo yesu ni mungu wa msamaha mwenye kunyeshea mvua wema na wabaya), na katika hili ukristo unatambua kuwa hakuna binadamu asiye na dhambi ..''
tukisema hatuna dhambi twajidanganya wala kweli haimo ndani yetu''.hivyo kuna second chance even third and so forth ya kutubu ukiwa hapa duniani. kitu ambacho kama gadafi hakufanya anakuwa hatiani.
tukiachana na ukristo, turudi kwenye imani yako
pia umesema kuwa sheria hizi hazikuwekwa na wananchi wa libya, ambao ni waislamu tena wenye uchumi mkubwa
(mazingira haya yanayoopingana na ile hoja yako ya mwanzo kuwa sheria zinawekwa kwa watu wenye uwezo kiuchumi.