Babu alizidisha mapenzi kwa wanawe

Babu alizidisha mapenzi kwa wanawe

Hio dini yako ni ipi!
Ile ya kujamiiana na mtu yyt ktk familia!
Au ile ya kuchinja mtoto ili kuondoa balaa!
Au ile ya kuimba uchi kwenye njia panda! Hebu tutajie hio dini yako nzuri!


Hiyo ya kuimba uchi njia panda nimeipenda sn! Sasa unaimba Saa ngapi Hiyo uchi?
 
kumbe haya mambo ya kulawiti na kunajisi yalianza toka enzii hizoooooooo nilidhani ni dunia ya leo tu kwa kuwa inaelekea ukingoni mana sikuhizi imekuwa kama jambo la kawaida
 
Cha msingi hawa viongozi wa wakatoliki ambao wanakatazwa kufanya mapenzi, jambo ambalo ni kinyume na maumbile, basi

ni bora wahasiwe amani ipatikane kwenye nyumba za ibada. Hali ilivyo sasa ni wasiwasi kwa wazee pale watoto wakienda

kwenye nyumba za ibada.
 
Hio dini yako ni ipi!
Ile ya kujamiiana na mtu yyt ktk familia!
Au ile ya kuchinja mtoto ili kuondoa balaa!
Au ile ya kuimba uchi kwenye njia panda! Hebu tutajie hio dini yako nzuri!

Asiyejua maana haambiwi maana, endelea kukukuruka na miungu ya wenzenu hiyo. I'm out.
 
Bila Shaka Rafiki Yangu kahtaan wanifahamu uzuri mpk nyumbani Kwetu kuleeeeee Nation House!

Sasa ninaswali jepesi Pamoja na Kua Andiko lansumbua na sheria sizifahamu km ulivyo sema! Hiyo sheria ni ya Musa Au ya Mungu?

Hakuna kitu kinaitwa SHERIA YA MUSA!

Na wewe unajua fika kuwa Musa sio Mungu wa kupangia sheria binaadamu!

Tumeyajadili haya mara nyingi lkn kama kwaida yako Ntuzu unaanza kupindisha tena!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu kinaitwa SHERIA YA MUSA!

Na wewe unajua fika kuwa Musa sio Mungu wa kupangia sheria binaadamu!

Tumeyajadili haya mara nyingi lkn kama kwaida yako Ntuzu unaanza kupindisha tena!


Rafiki yng kahtaan Mimi sipindishi mada! Niko pale pale!

Labda niseme tu ukristo na Imani yako ni vitu viwili tofauti kabisa! Kwahiyo usilinganishe Imani yako na ukristo! Au Yale yaliyomo ktk Imani yako ukafikiri na ukristo Uko hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mengi sana....movie linaendelea
sure!!
viongozi wa dini miaka ya nyuma walikuwa wanaonekana watu wa kipekee sana, siku hizi uhuru wa vyombo vya habari na utandawazi unawafunua sana yale yaliyojificha katika maisha yao ya kawaida. thats why there's is a growing number of people who disappointed with all religion stuffs and become atheists, while others still questioning whether God exists.some people believe in the money and power that can take control of anything known to be truth and manipulate in their cause.
 
Haina muongozo wa "mungu" Bali wa "Mungu'
Ukipata muda soma vitabu utapata majibu ya maswali yako
Mkuu, ukinisaidia kwa kunitajia vitabu husika nitashukuru, maana kama ni vitabu tu si haba uvivu sina wa kusoma vitabu
 
Hii habari itakua ya kutunga haiwezekani kabisa mtumishi wa mungu akalawiti, maana kanisa limeruhusu kuoa mbwa sasa kwanini ajishughulishe na hiyo kitu wakati ana alternatives nyingi.
 
Ntuzu na kusoma kwako hujui maana ya adhabu!!!!

Na serikali za wanadamu kupitia pope kwani ndio kiongozi wenu kiimani.

Mkuu ungeniambia Maana ya adhabu tungeelewana! Lkn kwasababu huniambii basi mada itakua ngumu!

Alafu papa sio Kiongozi wangu! Ni Kiongozi Wa makanisa ya Roma catholic! Sio Kiongozi Wa wakristo wote! Wapo wengine wasiomtambua uongozi wake na wengine wanamtambua!
 
Adhabu

Ni kichocheo kinacho tolewa ili kufuta tendo
au mwitiko ambao hakubaliwi au si mzuri
kwa mtazamo wa jamii.


Unapotoa adhabu unamaanisha kutoa fundisho Si ndio?
 
Swali moja majibu miatano kidogo. Unataka kumsemea ustaadh firauni, jisemee wewe na nafsi yako.Naona kinakuuma hadi unaleta kashfa. Hahahahahahaa...a dini za kuletewa zinavyowatesa. Sijapata skia dini ZETU zikihusishwa na mauchafu kama mliyorithi toka kwa wazungu na waarabu.

Samahani mkuu,nataka nijifunze kutoka kwako. Unaposema sisi we.gine tunafuata dini za wazungu na waarabu huku ukidai dini yako haijaletwa na hao watu watajwa hapo juu,dini yako hasa ni ipi na ni nani aliyeianzisha?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mkuu ntuzu adhabu nimeanza kutoa mimi au aklianza kutoa Mungu.mbona unanivisha vyeo sio vyangu


Mkuu sina Maana mbaya! Nataka tujue kwanza Maana ya adhabu na matokeo ya adhabu etc! Bado sijagusia mambo ya Imani!
 
punishment is the authoritative imposition
of something undesirable or unpleasant
upon an individual or group, in response to
behaviour that an authority deems
unacceptable or a violation of some norm.


Ok, kuna faida gani Unapotoa adhabu ya kifo kwa mtu?

Maana mmpewa adhabu naye pia anatakiwa kujifunza kutokana Hiyo adhabu!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom