Babu alizidisha mapenzi kwa wanawe

Babu alizidisha mapenzi kwa wanawe

Watu huacha uovu huyo.yeye hulipwa kwa alichotenda.

Mama yako akiuwawa,Aliyemuuwa tunamuuwa.

Adhabu za fimbo ni kwa makosa madogo.

kulawiti ni kosa kubwa

Hapa Umejibu kiimani sio?
 
Ni kutokana na kufikiri kwa Akili yangu siwezi amini vitu vyenye mapungufu.Imani yangu ikiwa na mapungufu I sweat to you naipiga chini sasa ivi.bora niwe mpagani

Mkuu hayo ni maoni yako!

Ukristo hauna mapungufu ata kidogo!
 
Islam is complete from All angles. pinpoint any angle that you need explanations.
mnapotoa adhabu ya kifo kwa mfano cha uzinzi? mnauhakika gani kuwa kati yenu hakuna wazinzi wa siri ambao hamwajui?. mfano gadafi amekuja kujulikana alikuwa mbakaji mzuri sana kwa visichana mabikira hadi kitanda cha kuwachunguza wanawake kama wanamagonjwa ya zinaa alikiweka kabla hajawaingilia.na ajabu alikuwa mhamasishaji sana wa wazungu wawe waislamu. alikuwaanajulikana anawalinzi mabikira. pia alijulikana kwa kuwa na walinzi wanawake.
kama angembaini je ni kadhi gani angemshtaki gadafi apigwe mawe?
je mlikuwa na nyenzo gani ya kujua kama yeye anafanya ubakaji ili mumwadhibu kama sheira zenu zinavyotaka sanasana nimeona sheria zenu zinawatafuna dagaa tu, huku kambale wanaendelea na uovu ado ado bila kujulikana. na hapa hamwoni kuwa mnachukua nafasi ya mungu anayeona kila mwanadamu wakati nyinyi wenyewe ni waovu wa siri mnaoonekana wema machoni pa wanadamu. lakini kwamungu ni waovu. hili unalisemaje mkuu?

swali lapili, iweje mungu wenu awaruhusu kusema uwongo(Al-taqiya), kwani kuna shida gani mkisema ukweli, yeye(mungu) atakuwa nani?
 
Mkuu swali moja moja.

Mzizi ambaye hajoa ni fimbo 100
alieo ni kifo.

ushahidi ni watu wanne.sio mtu mmoja.wazinzi wa siri nakubali wapo wengi na hao ndio sheria imewalenga zaidi .kwasababu anaezini hadharani barabarani amerahisisha sheria.

Mkuu Kwahiyo mnachukua nafasi ya Mungu kutoa hukumu?
 
Mkuu swali moja moja.

Mzizi ambaye hajoa ni fimbo 100
alieo ni kifo.

ushahidi ni watu wanne.sio mtu mmoja.wazinzi wa siri nakubali wapo wengi na hao ndio sheria imewalenga zaidi .kwasababu anaezini hadharani barabarani amerahisisha sheria.
so it is simple kuwa hakuna tofauti kati ya dini yako na serikali za kidunia kwakuwa haki haipatikani, mpaka mashahidi watimie wanne watimie sio? na huu ndio ukamilifu wa kiroho sio?

kwahiyo wabakaji wanakuwa hawajabakwa na mtuhumiwa anakuwa safi mbele zenu na mungu wenu kwakuwa mashahidi hawajafikia wanne , istoshe hata kama wangekuwa dini yako ingetaka mashahidi watatu wawili, mmoja lakinibado Allah nae hajaona na hasemi kitu. hivyo ushahidi chini ya hapo ni kumsingizia mtuhumiwa.

tukirudi ya gadafi:
kwahiyo gadafi amerehemiwa na mungu wake, kwakuwa hakuna shahidi aliyesimama dhidi yake mbele ya wabwakaji (victims).

(i suppose;pengine mashahidi waliogopa kuuwawa na gadafi ikiwa watasimama kutoa ushahidi kuhusu matendo yake)
hivyo basi wabwakaji(victims) wanakosa haki kwakuwa si mungu wala mwanadamu anayesimama upande wao.

NB; hivyo nimejifunza kuwa kwa dini yako, dawa ya kuwa mtakatifu duniani ni kufanya uovu kwa siri sana na kuhakikisha hakuna ajuaye au hata akijua wasizidi idadi ya mashahidi wanne. hapo utahesabiwa sawa na wale wenye haki. This is how complete religion really is.!!!

it sound like it is complete unfair for victims just like any a other ordinary court.
 
Mkuu una hoja Nzuri ! Ngoja tusubiri majibu!
 
Samaki mmoja akioza mchomoe tupa kule asisababishe wengine kuharibika

hawachomoleki , si mmoja hao , utamwaga samaki wote

A British Catholic journalist and former Dominican friar claims a “culture of secrecy” has led to the current crisis in the Vatican over the alleged misconduct of its senior clerics, and has reiterated claims that Pope Benedict XVI’s decision to stand down was partly due to concerns of abuse within the Catholic Church.

In a TV interview on Monday Mark Dowd claimed that at least “half” of “all the people attracted into seminaries in the priesthood are gay themselves.”

British Gay Catholic journalist claims 'half of all Catholics priests are gay' - PinkNews.co.uk · PinkNews.co.uk
 
kama unadhani hakuna utofauti kwanini mahakama zisiwe za kidini.?

Umegusa sehemu mmoja tu ya ushahidi vp kuhusu hukumu.mfano sheria za kibinadamu kwa mlawiti ni kufungwa. za kiislam ni kuuwawa utofauti ni mkubwa sana.

Inamaana watoto wanaolawitiwa Mungu hawaoni.Ndio imani yetu imetuthibitishia kiama kipo na waovu wote motoni milele.Iweje sehemu mahakama za kiislam zinapohukumu kifo mnapiga kelele haki za binaadamu.

Mfano sheria ya kiislam ya kukata wizi mikono kwa Tanzania haiwezi kutendwa kwa sababu watu wake ni maskini.sheria hii inatumika tu kwa maeneo amboyo watu wake ni wenye uwezo wa kiuchumi.Cause mtu anaweza kuiba sababu ya njaa

kwa Gadafi. viongozi wangapi madhalimu wamepita katika dunia hii.Purukushani za mussa na Faraoh wazifahamu.unajua ni kwanini Mungu hutupa simulizi za zamani katika vitabu vyake.Gadafi hakua kiongozi katika nchi inayoongozwa kwa sheria za kiislam japo nchi imejaa waislam.je mwisho wake umeuona.Kiongozi dhalimu mwisho wake si mwema.Ni story ngapi za dhulma zilizotajwa na Mungu katika vitabu Vyake.

Hiyo NB yako ni kujitoa akili kwako kwani jibu nimeliweka .hili limenisikitisha kwani kama lengo lako ni kutengeneza fitna za mdomoni wewe si wakujifunza.

Je dunia hii si ya kuongozwa na sheria za Mungu

penye blue: mahakama sio za kidini kwakuwa watunga sheria na waathirika wa hizi sheria wanaimani mbalimbali zisizofanana, na utanzania bara ni nchi ya kisecular na aihusiani na uchumi wa nchi kama unavyoeleza.
kwani ni ajabu kuona sharia zinategemeana na uchumi. yaani nizi ni maalum kwa wenye uchumi mkubwa tu!! it's unbearable facts

. kwa imani yako usiweke sharia ya kukata mikono wezi kwasababu ya njaa yao. binafsi nionavyo kila anayeiba anayonjaa fulani katika maisha yake. je hii yaweza kugeuzwa kuwa excuse ya kutenda kosa na kutokuhukumiwa ipasavyo na sharia inavyotaka?
mkuu unazidi kuonyesha extremely incomplete sense in your faith. lakini kwenye ukristo hakuna kisingizio cha wizi, wizi ni dhambi tu, na atendaye inampasa jehanum ya moto

mlinganisho wa sheria za kidini na kiserikali.
kuhusu kuua mlawiti na kumfunga mlawiti inategemea na hao binadamu walivyokubaliana kulingana na katiba yao hao wanadamu. mfano china ufisadi unanyongwa, hivyo hatuwezi kuita hii ni sheria ya kidini kamwe.la hasha. eti kwakuwa huku kwetu na nchi zilizostaarabika hazinyongi. Sheria za nchi zinatungwa kwa mujibu wa utamaduni husika na kuangalia mambo mengi.ndio maana tunategemea nchi zenye waislamu wengi kuunda sharia za utamaduni wa kiislamu katika kuendesha nchi zao.

hapa unadai nakusikitisha ngoja nipaweke sawa mkuu:

kinachofanya sheria zenu kutotofautiana ni namna ya ku-thibitisha kosa kama limetendwa, kwani mbinu mtumiazo hazina tofauti nambinu katika mahakama za kidunia. kwani sharia mnaiita ni ya mungu lakini watoa hukumu ni binadamu🙁ambao si ajabu na wao ni walawiti wazuri tuhata kadhi mwenyewe ila bado hamjawabaini).

na hapa utaona mambo makuu ma3 ama m4.
1. mbinu zinafanana, kwani bila kupata ushahidi mtenda kosa hana hatia. i.e rejea uliposema mpaka mashahidi wanne wathibitishe kosa. probably mtendakosa anaweza kuendelea kutenda kosa hilo kwa makusudi kwakuwa hakuna anayemwona ampeleke hukumuni, na akipita machoni penu anakuwa mcha Allah mzuri tu.

2. hapa mtuhumiwa aliyetenda kosa, katika kujitetea very likely anaweza kujaribu kuudanganya umma , Kadhi, na Allah wenu ili aepuke adhabu itakayomkabili kwa makosa yake: kosa juu ya kosa. other-Ys kusingekuwa na haja kuwepo mashahidi wa kumtia hatiani mtuhumiwa. mambo ambayo ni ya kawaida kwenye mahakama za kidunia

3. Allah wenu hana msamaha wala huruma kwa watu wake, anachokifanya ni kuwachinja na kuwakata mikono, miguu. na wakibainika hawapewi second chance ya kujipanga upya.: sheria za kidunia mara nyingi zipo hivyo kwani ignorance is not an excuse for a crime. hivyo utahukumiwa tu, bila kujali kuwa hukujua kama ni kosa ama unaomba msamaha.

4. ipo possibility ya ma kadhi, umma, na mashahidi kwa ujumla wanaweza waka-sold out kwa mtenda kosa, ikiwa pale mtendakosa ni mkubwa kwenye nchi kama rais , tajiri, waziri mkuu, mkuu wa majeshi n.k. na hapa kupelekea kuwanyima haki waathirika, huku allah akishuhudia game zima.

kwahiyo ni wazi mambo mengi hayatekelezeki hata kwenye nchi kama tanzania ya kisecular, mwishowe imani yako inajidhihirisha kuwa ni incomplete religion kwenye hiki kifungu* ambacho nimegusia tu.

tukigusia kidogo kuhusu mwisho wa gadafi ;
kwa mujibu wa baibo; mshahara wa dhambi ni mauti.hapa utaona baibo ime-make sense complete and clear, ..ikiwa hukumkiri yesu na kutubia dhambi zako ili usamehewe inakupasa jehanum. yesu anasamehe wenye dhambi, na anatutaka tusameheane ili tusamehewe na mungu pia.(mungu katika kristo yesu ni mungu wa msamaha mwenye kunyeshea mvua wema na wabaya), na katika hili ukristo unatambua kuwa hakuna binadamu asiye na dhambi ..''tukisema hatuna dhambi twajidanganya wala kweli haimo ndani yetu''.hivyo kuna second chance even third and so forth ya kutubu ukiwa hapa duniani. kitu ambacho kama gadafi hakufanya anakuwa hatiani.

tukiachana na ukristo, turudi kwenye imani yako

pia umesema kuwa sheria hizi hazikuwekwa na wananchi wa libya, ambao ni waislamu tena wenye uchumi mkubwa (mazingira haya yanayoopingana na ile hoja yako ya mwanzo kuwa sheria zinawekwa kwa watu wenye uwezo kiuchumi.

Rafiki yng kahtaan Mimi sipindishi mada! Niko pale pale!

Labda niseme tu ukristo na Imani yako ni vitu viwili tofauti kabisa! Kwahiyo usilinganishe Imani yako na ukristo! Au Yale yaliyomo ktk Imani yako ukafikiri na ukristo Uko hivyo!

Kwa hiyo unatuambia kuwa Ukristo unaruhusu kulawitiana?
 
140224135120_kasisi_london_304x171_bbc_nocredit.jpg

kasisi mstaafu Francis Paul Cullen, Kasisi mmoja wa kanisa katoliki mwenye umri wa miaka 85 amekiri kosa la kulawiti watoto wengi pamoja na kuwatendea unyama watoto wengine wasichana baada ya kufukuzwa kutoka katika kisiwa cha Tenerife nchini Uhispania.

Katika kesi iliyokuwa inasikilizwa leo katika mahakama mjini London kasisi huyo, kwa jina Francis Paul Cullen, alikiri makosa 21 ya kuwatendea uchafu watoto saba. Vitendo cha kuwalawiti watoto wavulana na kuwatendea unyama wasichana, vilitokea kayi ya mwaka 1957 na 1991.

Msemaji wa dayosisi ya Nottingham mjini Uingereza kasisi Andrew Cole alisema kuwa amefurahi kwa kasisi huyo kukiri makosa dhidi yake. Kasisi Cole alisema kuwa hakuna kinachoweza kuondoa masaibu yaliyowatokea watoto lakini kasisi Cole alisema anatumai kuwa hii itawasaidia kwa njia moja au nyingine.

Cullen atahukumiwa tarehe 24 mwezi Machi. Alifanya kazi kama kasisi katika dayosisi Mackworth parish ya Christ the King katika mtaa wa Derbyshire kati ya mwaka 1960 na 1978.

Alihamia katika kanisa ya Buxton kuanzia mwaka1978-87 na kanisa nyingine ya Hyson Green,kati ya mwaka 1988-91. Alistaafu Septemba mwaka 1991.

source BBC SWAHILI Leo 24/2/2014.
Acheni kumung'unya maneno Kichwa habari kilistahili kuwa KASISI WA KIKATOLIKI AKIRI KULAWITI WATOTO WA KIUME
 
so it is simple kuwa hakuna tofauti kati ya dini yako na serikali za kidunia kwakuwa haki haipatikani, mpaka mashahidi watimie wanne watimie sio? na huu ndio ukamilifu wa kiroho sio?

kwahiyo wabakaji wanakuwa hawajabakwa na mtuhumiwa anakuwa safi mbele zenu na mungu wenu kwakuwa mashahidi hawajafikia wanne , istoshe hata kama wangekuwa dini yako ingetaka mashahidi watatu wawili, mmoja lakinibado Allah nae hajaona na hasemi kitu. hivyo ushahidi chini ya hapo ni kumsingizia mtuhumiwa.

tukirudi ya gadafi:
kwahiyo gadafi amerehemiwa na mungu wake, kwakuwa hakuna shahidi aliyesimama dhidi yake mbele ya wabwakaji (victims).

(i suppose;pengine mashahidi waliogopa kuuwawa na gadafi ikiwa watasimama kutoa ushahidi kuhusu matendo yake)
hivyo basi wabwakaji(victims) wanakosa haki kwakuwa si mungu wala mwanadamu anayesimama upande wao.

NB; hivyo nimejifunza kuwa kwa dini yako, dawa ya kuwa mtakatifu duniani ni kufanya uovu kwa siri sana na kuhakikisha hakuna ajuaye au hata akijua wasizidi idadi ya mashahidi wanne. hapo utahesabiwa sawa na wale wenye haki. This is how complete religion really is.!!!

it sound like it is complete unfair for victims just like any a other ordinary court.

We kawaida yako ni kuandika gazeti reeeeeeeeefu lkn unaruka swali mama!

Mmeulizwa hapo juu! Je! Ugalatia unaruhusu kulawitiana!?

Lkn hakuna hatta mmoja wenu kajibu!

Mnapita huku. Mkaibukia kule!
 
We kawaida yako ni kuandika gazeti reeeeeeeeefu lkn unaruka swali mama!

Mmeulizwa hapo juu! Je! Ugalatia unaruhusu kulawitiana!?

Lkn hakuna hatta mmoja wenu kajibu!

Mnapita huku. Mkaibukia kule!
ninachoweza kukwambia huu ni mgawanyo wa majukumu mkuu,katika hizi imani:mlianza na mapanga , sasa bunduki, wakati dini yenu inatengeneza makomando wa kulipuka,na kubomoa makanisa, huku wengine wakiwekeza kwenye vita na mauaji, wakiyaita ni sehemu ya zile aina kadhaa za jihadi zenye kumtukuza mwenyezi mungu(allaH)

hali ni tofauti kwa wakristo kwani, hawana hata wazo la vita, wanachowaza wakristo ni ku-do the right thing, huku tuna madhehebu na dini za kutosha huku wakiibuka wachungwaji wanaotengeneza pesa mpaka kuwa mabilionea kila kukicha, kwa mgongo wa dini.wakiwemo wale wenye kuzungumza kile jamii inataka kusikia, ili utatue matatizo yao. mahela ndo mpango mzima. ofcoz hata allah alisema tutaendelea kuwa mbele ya dini nyingine kwakuwa tunamtumaini yesu kristo. chezea mwenye nguvu weye.

pia mkuu sijaruka swali mama, bali nilikuwa nachambua sheria ya kujichukulia sheria mikononi badala ya kumwachia mungu mwenyewe aamue. inavyoonyesha mtu asivyo na mategemeo na muumba wake.
 
aisee... ama kweli chui wamejaa kanisani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom