Babu alizidisha mapenzi kwa wanawe

Babu alizidisha mapenzi kwa wanawe

hmmm! jamani tuseme ukweli.. ukatolikini kuna uozo mwingi sana wa kichini chini!

sasa hiki kibabu kimeona kiseme kikiwa 85yrs old kwa sababu kikifungwa au kisipofungwa equals to zero ya 49.!

ukatolikini nako... mmh!
 
Hebu tueleweshane; kanisa katoliki ni dini yenye muongozo wa mungu(kitabu/vitabu) au ni kama international organization yenye itikadi fulani yenye lengo la kula raha za dunia iliyojificha kwenye mwamvuli wa dini?; Maana hawa watu dah...!

Haina muongozo wa "mungu" Bali wa "Mungu'
Ukipata muda soma vitabu utapata majibu ya maswali yako
 
hmmm! jamani tuseme ukweli.. ukatolikini kuna uozo mwingi sana wa kichini chini!

sasa hiki kibabu kimeona kiseme kikiwa 85yrs old kwa sababu kikifungwa au kisipofungwa equals to zero ya 49.!

ukatolikini nako... mmh!

Teh teh teh!

Ngoja mwanae Remote akusikie unavyo mkashifu babu yake!

Manake huyu mwana ukimfunua kwenye makalio yake utakuta Ana tatoo ya Pope Francis katabasam!
 
Last edited by a moderator:
Watu kama hawa na wafuasi wao kina KIRUA na wagalatia wengine ni bora kunyonga tu!
Mnfnssssssssss

Kama alivyouawa wa Mbagala aliechinja mtoto baada ya kumnajisi.!??
 
Last edited by a moderator:
Kama alivyouawa wa Mbagala aliechinja mtoto baada ya kumnajisi.!??

Hio ya mbagala unaijua wewe na wale kina mama wa rusha roho!
Haina mashiko wala ushahidi wowote!

Unajua moja ya tatizo la kuzeekea kwenye ukatoliki ni kuwa tabia za uanamme zinageuka na kuwa za kike!
Sasa naona na wewe zimeshaanza kukuandama!
Maneno ya rusha roho yanakugusa kuliko yale ya uhakika!

Huyo kiongozi wako hapo juu kabaka na kunajisi watoto wasio na idadi!
We badala hata ku pretend kuwa unawasikitikia wale victims!
Unajifanya hata huna habari!

Wazee kama nyie mkiachwa peke yenu na wajukuu zenu mnaweza wafanya kitu ya ajabu sana!

If I see that grumpy face of yours in ma neighbourhood! I'll never hesitate to use my shotgun!

Damnnnnn!
 
Samaki mmoja akioza mchomoe tupa kule asisababishe wengine kuharibika
 
Pigeni tu piga tu wapigwe tu wenye tabia kama za huyu kasisi...uwezi ukakaidi kwa maksudi miongozo ya kidini halafu sisi tukakuangalia tu...
 
Mkuu adhabu kali dhidi ya watu kama hawa,kama vile kuwanyonga kabisa ili tunusuru watoto wetu la sivyo watoto watamalizwa

Adhabu kuwekwa na serikali Au? Na nini Maana ya adhabu? Ukishamnyonga shoga, atajifunza nini na ameshakufa?
 
Adhabu iwekwe na serikali Au na nani?

Sio iwekwe!
Adhabu imeshawekwa na Mungu!
Kinachotakiwa ni wahusika wa hio imani (ambao ni nyie kuitekeleza) kama sisi tunavyofanya tukiwakamata wabakaji wa namna hii!
 
Mungu kaiweka wapi?
 
Hio ya mbagala unaijua wewe na wale kina mama wa rusha roho!
Haina mashiko wala ushahidi wowote!

Unajua moja ya tatizo la kuzeekea kwenye ukatoliki ni kuwa tabia za uanamme zinageuka na kuwa za kike!
Sasa naona na wewe zimeshaanza kukuandama!
Maneno ya rusha roho yanakugusa kuliko yale ya uhakika!

Huyo kiongozi wako hapo juu kabaka na kunajisi watoto wasio na idadi!
We badala hata ku pretend kuwa unawasikitikia wale victims!
Unajifanya hata huna habari!

Wazee kama nyie mkiachwa peke yenu na wajukuu zenu mnaweza wafanya kitu ya ajabu sana!

If I see that grumpy face of yours in ma neighbourhood! I'll never hesitate to use my shotgun!

Damnnnnn!

Swali moja majibu miatano kidogo. Unataka kumsemea ustaadh firauni, jisemee wewe na nafsi yako.Naona kinakuuma hadi unaleta kashfa. Hahahahahahaa...a dini za kuletewa zinavyowatesa. Sijapata skia dini ZETU zikihusishwa na mauchafu kama mliyorithi toka kwa wazungu na waarabu.
 
Mungu kaiweka wapi?

For Homosexuality

If a man also lie with mankind, as he lieth with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them. ---Leviticus 20:13

And the man that lieth with his father's wife hath uncovered his father's nakedness: both of them shall surely be put to death; their blood shall be upon them. ---Leviticus 20:11

And if a man lie with his daughter in law, both of them shall surely be put to death: they have wrought confusion; their blood shall be upon them. ---Leviticus 20:12

And if a man take a wife and her mother, it is wickedness: they shall be burnt with fire, both he and they; that there be no wickedness among you. ---Leviticus 20:14

Nadhani andiko lako linakusumbua mkuu!

Hata sheria huzijui!
 
Hio dini yako ni ipi!
Ile ya kujamiiana na mtu yyt ktk familia!
Au ile ya kuchinja mtoto ili kuondoa balaa!
Au ile ya kuimba uchi kwenye njia panda! Hebu tutajie hio dini yako nzuri!
 
For Homosexuality

If a man also lie with mankind, as he lieth with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them. ---Leviticus 20:13

And the man that lieth with his father's wife hath uncovered his father's nakedness: both of them shall surely be put to death; their blood shall be upon them. ---Leviticus 20:11

And if a man lie with his daughter in law, both of them shall surely be put to death: they have wrought confusion; their blood shall be upon them. ---Leviticus 20:12

And if a man take a wife and her mother, it is wickedness: they shall be burnt with fire, both he and they; that there be no wickedness among you. ---Leviticus 20:14

Nadhani andiko lako linakusumbua mkuu!

Hata sheria huzijui!

Bila Shaka Rafiki Yangu kahtaan wanifahamu uzuri mpk nyumbani Kwetu kuleeeeee Nation House!

Sasa ninaswali jepesi Pamoja na Kua Andiko lansumbua na sheria sizifahamu km ulivyo sema! Hiyo sheria ni ya Musa Au ya Mungu?
 
Last edited by a moderator:
wengine ndo watajifunza na hakutokua na mtiririko wa extra mapenzi kwa watoto,manake hofu itakuwepo.

Sawa! Umejibu Moja tu!

Nauliza tena nani aweke Hiyo adhabu? Na nini Maana ya adhabu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom