Babie Kabae na Udini Clouds Tv

Babie anaharibu sana kipindi mimi siangaliagi tena
 
Si kipindi cha kutangaza uislamu ni kipindi cha habari na matukio, sasa kwanini anaiba muda wa kipindi kutangaza dini yake?
kwani hua anatangaza peke yake!? ungeshauri na wale jamaa wengine watangaze ukristo
 
UNAPOSHINDWA KUVUMILIA JAMBO KAMA HILI BASI UNA WAKATI MGUMU SANA SASA WE ULITAKA AIFAFANUE JAMBO KUPITIA UKRISTU WAKATI YEYE NI MUSLIM, MM NIMESHAMSIKIA AKISEMA HATA AKISEMA.MENGI TU YA WAKISTRU TENA ANATUMIA BIBLIA ,hii si ishu kubwa we chukua unayoona yanakufaa yale mengine yanayokukera yaache.
 
MBona kwenye magari mnatulazimisha kusikiliza makway yenu, sisi hatulalamiki.

Acha ujinga, kua.

Unataka atoe mifano ya kikristu au? Hana hiyo.
 
kwani mkuu unanijua!? shukuru jf inakupa oportunity ya kujibizana na watu ambao katika mazingira ya kawaida usingepata hata muda wa kuongea nao
Kweli kabisa, Kwa sababu ni mteja wa Mirembe.
Ungekuwa nae karibu ungempiga na kapu lako la matakataka.
 
Zipo nyingi tu, lakini kwa ujinga kama huu lazima tukemee vijana.Hivi unapata wapi muda Wa ku discuss maisha ya mtu
Show me one idea only one good idea you have discussed this year. Moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…