Hahahaaaahaa....depends Mimi nipo class gani. No faking.
So nikiwa high inabid ujibebe
Khahahaaaa.... lol...
Au baby kodi yangu imeisha natakiwa nilipe 4mil next week mwenye nyumba kawa mkali!!!
Hapo ni jtano jumatatu hela inatakiwa
Ukitaka nikulipie kodi hamia kwangu. We ndugu zangu wanasoma shule za kata aafu nikulipie kodi ya nyumba 4m aafu na foleni napangishwa! Khaaa!
Unalipa tu...chezea tamu ww
Bahati mbaya mie sio muumini wa utamu. Nikiona unanipiga sana mizinga nasepa nakuacha na huo utamu wako
Mwingine kanipigia cm sasa hivi yuko chuo,eti 'baby unajua sijala hadi sasa hivi?'....sasa nimjibu nini?!
Hahahaaaa....kibendera kipi hicho?
Cha kuombea msaada!!!!!
Aaaagh ...om
Vipi teeenaaaa????!!!!!
miss chagga, hivi unajua wewe ndio ulifilisi duka langu kwa jinsi ambavyo nilikuwa nakugaia mipesa ya biashara
Duh! Asante miss chaggaakili yakio vivu kufikiri unalalama mno ndo maana nikakuacha
mhhhh hivi kula popcorn,kwenda movie,swimming na kula marrybrown ni anasa jamani??...hadi uje useme mmu nyie wanaume,kwani nyie hamuendagi..?
Only in bongo iz anasa!!
ahhh jmn mwenge pale tunanunua fuko la popcorn mia 5 haki humalizi mwenyewe...nan anazijua hzo popcorn karibia na mwembe pale,jero tu ...yani 500?
Hahahaaa... napajua sana palikuaga maeneo yangu ya kujidai Sema tu siku hizi nimeadvance...lol