Babe, I am afraid this was never meant to be...

Haijatulia sema nitafanyaje sasa. . Mnajua sana kutuumiza nyie viumbe
Unadhani hata tunapenda....huwa tunashangaa kuambiwa unaniumiza. Ukiona unachoambiwa unamuumiza hata kilikuwa hakipo akilini..

-Usiku mwema
-umeamkaje.

At the end of the day, naamini nature inamua lipi litokee wapi na vipi licha ya juhudi za wote kutaka kuweka hali sawa.

Unaweza kuamua kuwa na Mzigua90 ila kama nature haijakubali basi haijakubali.
 
Ni kweli mkuu ila kuna wengine wanafanya makusudi kabisa kuumiza wengine.
Unadhani hata tunapenda....huwa tunashangaa kuambiwa unaniumiza. Ukiona unachoambiwa unamuumiza hata kilikuwa hakipo akilini..

-Usiku mwema
-umeamkaje.

At the end of the day, naamini nature inamua lipi litokee wapi na vipi licha ya juhudi za wote kutaka kuweka hali sawa.

Unaweza kuamua kuwa na Mzigua90 ila kama nature haijakubali basi haijakubali.
 
Na nimejifunza kitu muhimu sana hapa. Ni muhimu sana kuachana na wapenzi wetu kwa amani na upendo. Huyu braza anayeliliwa hapa bila shaka ni mtu mwema na ana haki ya kujipongeza huko aliko.

Ndiyo. Watu mkishindwa kuelewana mnaachana kwa amani. Na mbegu za wema, upendo wa kweli, urafiki na ubinadamu zikipandwa, zikapaliliwa na kutunzwa vyema daima hutoa matunda mema. Miaka inaweza ikapita lakini matunda yake kamwe huwa hayaozi na kupotea moja kwa moja. Hongera binti kwa kukumbana na njemba hii iliyokuachia makovu ya wema na upendo katika mtima wako mchanga.

Mungu Atauponyesha moyo wako huu unaobubujika asali ya mapenzi matamu ya kweli yaliyoachwa peke yake yakichuruzika na mrina huyu shujaa aliyeamua kwenda kusaka asali kwingine. Jipe muda. Utapona !!!
Very unlikely watu wakaachana mwa amani

Kwasababu ni ngumu wote kukubaliana kuachana endapo mmoja hajawa tayari kupokea separation

In any way, shape and form... Separation ni painful process lakini sometimes ni the only way out
 
Lol. Mnatukomesha wengine kwa makosa ya wengine.

Siku wanawake tukipata mioyo kama yenu ya kuumiza kisa kuumizwa wanaume wengi sana watalia
Mkuu hii ni kama fate mtu ukiishaumizwa na first love kwa upande wetu huwa tunakuwa na roho za ajabu sana
 
thank you so so much,
I inhale this..!! I know I have to kiss many frogs before finding my own prince so that I would cherish that person, been so strong indeed.!!
Sasa prince unamtafuta si yule jamaa aliekuanzishia uzi...
 
Na nimejifunza kitu muhimu sana hapa. Ni muhimu sana kuachana na wapenzi wetu kwa amani na upendo. Huyu braza anayeliliwa hapa bila shaka ni mtu mwema na ana haki ya kujipongeza huko aliko.

Ndiyo. Watu mkishindwa kuelewana mnaachana kwa amani. Na mbegu za wema, upendo wa kweli, urafiki na ubinadamu zikipandwa, zikapaliliwa na kutunzwa vyema daima hutoa matunda mema. Miaka inaweza ikapita lakini matunda yake kamwe huwa hayaozi na kupotea moja kwa moja. Hongera binti kwa kukumbana na njemba hii iliyokuachia makovu ya wema na upendo katika mtima wako mchanga.

Mungu Atauponyesha moyo wako huu unaobubujika asali ya mapenzi matamu ya kweli yaliyoachwa peke yake yakichuruzika na mrina huyu shujaa aliyeamua kwenda kusaka asali kwingine. Jipe muda. Utapona !!!
Bora umeandika Kiswahili kidogo nikaelewa kinachoendelea. Hakika wewe sio furushi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom