Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Aisee. Pole sana...I am not fitting in, sometimes I think I am not enough for him and maybe am not the reason for his happiness.!!
Yeye anajua unavyojisikia? Ulishamwambia (na hakujali?). Kama ni jentromani kama unavyompamba hapa bila shaka atachukua hatua stahiki. Unaweza ukawa unaumia na kulia hapa kumbe kijana wa watu huko aliko wala hajui kinachoendelea. Mabinti mna tabia hiyo sometimes. Mnaumia tu moyoni bila kufunguka. Waweza shangaa ukikuta kumbe ni misunderstanding ndogo tu inayorekebishika.
Ila kama ameoa au ameopoa binti mwingine basi hiyo ni hadithi nyingine....






