Babati nipokeeni

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
haya wadau I hope raia wa Babati hawakosekani humu, kesho natia maguu huko, please nipokeeni, nipeni information kama nitarajie nini huko, (ndo nitafika kwa mara ya kwanza) wapi nijirushe baada ya majukumu, misosi gani mnapiga huko, bila kusahau yale mambo yetu yale lol.

CHRONOLOGICAL UPDATES:
11:08:
Morogoro.

14:47:
Dodoma

20:00
Nimefika Manyara.
 
Ukienda Bbt unaanzia kituo A-Town, we vp jombaangu?
Ungeanzia hapa ungejisevia hata wa kwenda nayew Bbt akuonyeshe mji unafananaje!
 
route yangu inapita dodoma kamanda wangu, nimengalia google maps naona nitafika babati kabla ya a town, kwani huwezi kuniunganishia contact tukutane hapo hapo bbt nikikaribia namvutia waya tu.
 
karibu sana Babati.....na tafadhali usiache kuja Yaeda.....tutakuwa na karamu kipindi chote cha sensa....serikali imekubali kutuchinjia pundamilia.....ni bbq kwa kwenda front.....Yaeda Chini hoyeeeeeee.......
 
duh, Preta! asante sana, nitakutafuta walahi ingawa kuna jamaa nasikia kachimba mkwara humu kuhusu wewe
 
Last edited by a moderator:

nani huyo anachimba mkwara?....wasikubabaishe....we njoo Yaeda ujilie nyam chom.....
 
Last edited by a moderator:
haya wadau I hope raia wa Babati hawakosekani humu, kesho natia maguu huko, please nipokeeni, nipeni information kama nitarajie nini huko, (ndo nitafika kwa mara ya kwanza) wapi nijirushe baada ya majukumu, misosi gani mnapiga huko, bila kusahau yale mambo yetu yale lol.

CHRONOLOGICAL UPDATES:
11:08:
Morogoro.

14:47:
Dodoma

Karibu hapo ni nyumbani, misosi ni ile ile inayopatikana sehemu zingine za Tanzania. Na sehemu za kujirusha zipo nyingi inategemea na mapenzi yako, ila jitahidi siku ya mnada ufike mnadani Singe haswa kuanzia saa 9 mchana upate nyama choma na pombe ya kienyeji ya Manguree kama unatumie lakini usizidishe.
 
asante kamili, and thanks for your time, nimefika salama, the place is beautiful
 
Dodoma Babati ni masaa max ma5!
Kula sahani moja na Preta atakupitisha kotekote, Babati na Arusha

poa mkuu, nimefika jana saa mbili usiku, preta anatoa ushirikiano mzuri tu so far, sijamuona lakini usije ukaanza mambo yako.
 
Last edited by a moderator:
Preta, Yaeda ndo wapi? hebu nielekeze basi, maana kila ninayemuuliza anasema ana mwezi mmoja tu hapa, naona huu mji bado mpya sana kila mtu mgeni teh teh...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom