GE2025 Babalevo: uwezo ule wa kuwasemea wananchi ndiyo sifa yangu pekee kubwa niliyonayo....

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Kazi kubwa ya diwani/mbunge ni kuwasemea wananchi wao matatizo yanayosibu ili kupata ufumbuzi kwa maendeleo ya watu wake hayo mengine i.e:kutunga sheria,kupangua hoja,kujadili miswada ni ziada tu na ujanjaujanja ili kuwaibia watu kwani hata madiwani wanatunga sheria ndogondogo bwana?

Hili litiliwe mkazo kwa sasa diwani/mbunge asiyewasemea watu wake piga chini awamu ijayo bila kujali usomi/elimu yake wakale elimu zao sasa!!
 
Watu wanaomdharau Baba levo ni watu wajinga .

Kazi ya Mbunge kwa mujibu wa katiba ni.

-Kuwasemea wananchi kero zao

Ukisema wasomi wawe wamesoma , swali linakuja je hao wasomi wamefanya nini katika majimbo yao
 
Adui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena,kwanini hao wabunge na viongozi wasomi wameshindwa kuondoa umasikini,ujinga na maradhi kama kweli elimu yao ni muhimu?
 
We kumbatia ujinga wako uufaidi
 
Km Baba levo ataingia bungeni after October, wallah na mie ntaingia 2030 Mjengoni.
 
We kumbatia ujinga wako uufaidi
Mjinga ni wewe mwenyekudhani na kuwa na fikira za kipumbavu kuwa MSOMI ndiye anaakili kuliko mtu ambaye hajasoma ingekuwa hivyo kwanini wasomi au watumishi wengi wa serikali wanaongoza kwa mikopo ya kausha damu?

Hakuna watu ambao hawajasoma na wameajiri hao wasomi wako?mjinga ni nani kti yangu na wewe?

Kwanini mnalalamika kila leo serikali itoe ajira kwa wasomi je wameshindwaje kujianiri wakati wanayo elimu na wasio na elimu wakaweza kujiajiri??

Acha uijnga na upumbavu uliopitwa na wakati elimu ya mkoloni haikutolewa ili ikupe maisha bali ili uwatumikie wakoloni,chemsha ubongo wako shit hole wewe!!
 
Back
Top Bottom