Ni zaidi ya hatari jombaa, sema yeye kalelewa zaidi uchagani kwa hiyo features zote za kichaga anazo hata za uchakarikajiAfu mtoto wa kuchaga plus kihaya, hatari aisee ishi nae tu kwa lazima, baraka za ndo baadae mzee atakua kesha kua mpole
Ni zaidi ya hatari jombaa, sema yeye kalelewa zaidi uchagani kwa hiyo features zote za kichaga anazo hata za uchakarikaji
Si dada zako au? Mbona unawapondea au unaona tunakumizia?
Duuuuu hatari mzee, kwa hiyo jamaaa kaolewa sioMi mshua halazimishi sana nioe kabila langu, ila hataki nioe lile kabila maarufu linalopatikana kaskazini mwa Tanzania...yani hataki kabisa....kuna mtoto wa baba mkubwa alioa hilo kabila la kaskazini miaka ya 90 mwanzoni lakini mpaka leo hajawahi kurudi nyumbani....hata baba yake alivokufa(baba mkubwa ) hakuja.......nyumbani kuna ndugu wameanza kumsahau....
Nimekupongeza sana kwa maamzi.Tanzania yetu itajengwa kwa kuvunja ukabila na ukanda.Ubarikiwe mno mulaa.Wanajamii habari
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni miezi michache imepita toka ni hitimu shahada yangu na sasa hivi nafanya biashara zangu,
Kama mnavyojua umri unapokuruhusu kufanya jambo fulani basi sharti ufanye jambo hilo kwa wakati sahihi. Kwa sasa mimi natarajia kuoa ili niwe na msaidizi tujenge familia, na wakati niko chuo mwaka wa kwanza nilibahatika kukutana na msichana mmoja ambaye tulianza uhusiano, kiukweli uhusiano wetu toka tuanze umekua wa mafanikio sana sababu mchumba wangu huyo ndio amechangia kwa kiasi kikubwa mpaka mimi leo hii kumiliki biashara zangu binafsi.
Kwani alikua akinishauri mambo kadha wa kadha ambayo kiukweli yalizaa matunda na sisi kufikia hatua hii tuliyofikia, haya ni baadhi aliyoyafanya mchumba angu kipindi cha nyuma
1.mimi nikiwa first year yeye second year alinishauri na kunipa wazo la kufungua duka la nafaka, huku yeye akitoa nusu mtaji na mimi nikatoa nusu mtaji, tukafanya biashara na sasa iko mbali sana
2.kuna siku alitonya na kuniambia kwao Kuna banda liko wazi halina kazi kwa hiyo tunaweza kufuga kuku wa nyama na yeye atakua anasimamia kila kitu, kwa sababu namuamini nikafanya hivyo na kiukweli amesimamia shoo vizuri Sana mpaka nafurahi.
TATIZO LIKAANZA KUJITOKEZA
Sasa nije kwenye point iliyonifanya niombe ushauri, sasa kuna siku nimekaa na baba yangu nikamueleza juu ya mimi kuoa na mtu ambaye natarajia kumuoa. Kiukweli nilishangaa kuona mzee akinibadilikia akidai ni lazima nioe mkurya mwenzangu ndio yeye ataweza kushiriki katika hiyo harusi bila hivyo nisimjue, mchumba wangu ni mhaya kachanganya na mchaga.
Nilipo muuliza sababu ni nini mpaka nishindwe kuoa mtu wa kabila tofauti na langu, alichonijibu ni kwamba eti anataka akamilishe mila tu na si vinginevyo, yaani yuko radhi mimi nioe mtu ambaye sio sahihi ilimradi tu akamilishe mila, hivi hii ni sawa kweli??
Na mimi ni mtoto wa kwanza katika familia kwa hiyo nimeambiwa mimi ndio mfano kwa wadogo zangu sasa inabidi nioe mkurya mwenzangu, alafu kama nikitaka kumwoa huyo mchumba wangu ninaye mtaka basi nimwoe mke wa pili, na mimi siko tayari kuoa wake wawili.
Na akaniambia nisipo fanya hivyo nitapata shida sana endapo nitalazimisha kufanya navyotaka mimi.
Sasa ningependa kufahamu kwa wale vijana wenzangu wa kikurya ambao wameoa kabila tofauti alafu ni watoto wa kwanza katika familia walipata shida gani?
Hatua nilizochukua baada ya sakata hilo
1.nimeamua niishi na mchumba wangu hivyo hivyo, sihitaji harusi wala cha kwenda kuvalishana Pete kanisani, maana ndoa nimaridhiano baina ya Watu wawili, na sisi tumeridhiana na harusi sio chochote
2.mzee wangu amesema hanitambui mimi sio mwanae, kwa sababu nina kwangu na nina biashara zangu na kuna ndugu wengi tu wako upande wangu wala sioni shida, ila natafuta suluhu taratibu na nina imani muda ukifika atanielewa
Ushauri wenu
Je ni kipi ambacho nakosea hapo ili nijirekebishe? Vipi naweza kupata kweli tatizo kutokana na hii hali? Na ukizingatia binti wa watu nimetoka nae mbali na tumepanga mambo mengi sana, je ni sahihi kweli tuje tutengane eti kisa kutimiza mila?
Nitashukuru San kwa ushauri wenu wana jamvi
asi5sahau slaa alimuoa muhaya akawa katibu mkuu chadema mapaka balazi wa swedeni hata kingunge alimuoa muhayaMuulize mshua yeye aliyeoa mke wa kabila lake ambaye ni mama yako amepata nini kwenye hizo mila ?
Halafu mwambie warioba alioa mchaga akawa wazuri mkuu na jaji mkubwa.....
Mwambie mzee dunia imebadikika ndio maana anapanda gari badala ya kutembea kwa miguu kilomita 20 kwenda 20 kurudi.....mabadiliko nayo yamechangia na yeye kubarikiwa na kila kubadilika.
Pia napata wasiwasi na uwezo wako wewe bwana harudi unayeshindwa kutetea hoja zako kwa point mpaka baba yako aliyekuwa na kukupeleka shule utapata elimu unashindwaje kumwelwwesha mzee wako mwenyewe....tumia akili na busara ulizozipata chuoni kutatua issue ndogo kama hii.
Mimi ni Mkurya nimeoa Mnyakyusa. Mwaka wa tatu wa ndoa sasa.Wanajamii habari
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni miezi michache imepita toka ni hitimu shahada yangu na sasa hivi nafanya biashara zangu,
Kama mnavyojua umri unapokuruhusu kufanya jambo fulani basi sharti ufanye jambo hilo kwa wakati sahihi. Kwa sasa mimi natarajia kuoa ili niwe na msaidizi tujenge familia, na wakati niko chuo mwaka wa kwanza nilibahatika kukutana na msichana mmoja ambaye tulianza uhusiano, kiukweli uhusiano wetu toka tuanze umekua wa mafanikio sana sababu mchumba wangu huyo ndio amechangia kwa kiasi kikubwa mpaka mimi leo hii kumiliki biashara zangu binafsi.
Kwani alikua akinishauri mambo kadha wa kadha ambayo kiukweli yalizaa matunda na sisi kufikia hatua hii tuliyofikia, haya ni baadhi aliyoyafanya mchumba angu kipindi cha nyuma
1.mimi nikiwa first year yeye second year alinishauri na kunipa wazo la kufungua duka la nafaka, huku yeye akitoa nusu mtaji na mimi nikatoa nusu mtaji, tukafanya biashara na sasa iko mbali sana
2.kuna siku alitonya na kuniambia kwao Kuna banda liko wazi halina kazi kwa hiyo tunaweza kufuga kuku wa nyama na yeye atakua anasimamia kila kitu, kwa sababu namuamini nikafanya hivyo na kiukweli amesimamia shoo vizuri Sana mpaka nafurahi.
TATIZO LIKAANZA KUJITOKEZA
Sasa nije kwenye point iliyonifanya niombe ushauri, sasa kuna siku nimekaa na baba yangu nikamueleza juu ya mimi kuoa na mtu ambaye natarajia kumuoa. Kiukweli nilishangaa kuona mzee akinibadilikia akidai ni lazima nioe mkurya mwenzangu ndio yeye ataweza kushiriki katika hiyo harusi bila hivyo nisimjue, mchumba wangu ni mhaya kachanganya na mchaga.
Nilipo muuliza sababu ni nini mpaka nishindwe kuoa mtu wa kabila tofauti na langu, alichonijibu ni kwamba eti anataka akamilishe mila tu na si vinginevyo, yaani yuko radhi mimi nioe mtu ambaye sio sahihi ilimradi tu akamilishe mila, hivi hii ni sawa kweli??
Na mimi ni mtoto wa kwanza katika familia kwa hiyo nimeambiwa mimi ndio mfano kwa wadogo zangu sasa inabidi nioe mkurya mwenzangu, alafu kama nikitaka kumwoa huyo mchumba wangu ninaye mtaka basi nimwoe mke wa pili, na mimi siko tayari kuoa wake wawili.
Na akaniambia nisipo fanya hivyo nitapata shida sana endapo nitalazimisha kufanya navyotaka mimi.
Sasa ningependa kufahamu kwa wale vijana wenzangu wa kikurya ambao wameoa kabila tofauti alafu ni watoto wa kwanza katika familia walipata shida gani?
Hatua nilizochukua baada ya sakata hilo
1.nimeamua niishi na mchumba wangu hivyo hivyo, sihitaji harusi wala cha kwenda kuvalishana Pete kanisani, maana ndoa nimaridhiano baina ya Watu wawili, na sisi tumeridhiana na harusi sio chochote
2.mzee wangu amesema hanitambui mimi sio mwanae, kwa sababu nina kwangu na nina biashara zangu na kuna ndugu wengi tu wako upande wangu wala sioni shida, ila natafuta suluhu taratibu na nina imani muda ukifika atanielewa
Ushauri wenu
Je ni kipi ambacho nakosea hapo ili nijirekebishe? Vipi naweza kupata kweli tatizo kutokana na hii hali? Na ukizingatia binti wa watu nimetoka nae mbali na tumepanga mambo mengi sana, je ni sahihi kweli tuje tutengane eti kisa kutimiza mila?
Nitashukuru San kwa ushauri wenu wana jamvi
Wazazi wengi wako hivyo lakini muda huponyesha wasi wasi na hofu zote walizokuwa nazo hasa ukipata mke mwema ila tabia zenu za kudunda wake zenu, kwa makabila mengine hazikubaliki. HONGERA SANA MURAWanajamii habari

Msikilize baba yako...ndoa yenye baraka ile ambayo wazazi wa pande zote mbili wameridhia au mshawishi hadi akubaliane na wazo lakoWanajamii habari

SAFI SANA BRO ENDELEA. Mimi ni mtu wa pwani lakini nilipowaambia ndugu zangu kuwa nataka kuoa mwanamke wa bara, ilikuwa balaa maana waliona kama vile nimepotea njia lakini sasa baada ya miaka mingi kupita, mke wangu ndiye amekuwa kipenzi cha familia nzima. Haya ndiyo mambo ambayo baba wa taifa alipenda kuona yanafanyika kwani yanaongeza uduguSiku hizi tumeacha mkuu
Una majibu mafupi, ya moja kwa moja na yanayoeleweka...Achana na baba ako....hakuna cha laana wala nini! Ishi na muoe huyo Dada.
Kwanza una uhakika gani ni babako mzazi? Akwendree