Vipi Kama wanawe hawana uwezo au roho mbaya?Huyo mama mi scammer, stay away asaidiwe ma na watoto wa kuwazaaa la sivyo utamuuza mzee wako kuendelea kufanya hayo
Uwezo wanao ila hawampokelei simuHuwei kujua baba yako kwa nini amekukataza, je ni kwa sababu tu ya ugomvi wao uliopelekea kuachana au kuna kitu amekiona, je hao ndugu zako wana uwezo wa kumsaidia Mama yao? kama hawako vzr kimaisha kiasi cha kushindwa kumsaidia Mama yao unaweza kumsaidia ila asitangaze....ila tafakari mara mbili kama kweli ni msaada anataka kwako au ana lengo baya na wewe huwezijua baba yako ameona/anajua nini mpk akukataze kumsaidia
Huyu mama nimekaa nae kwa mda mwezi mmoja tu kwenye maisha yangu mpaka sasa ila sasa nachojiuliza kwanini mzee anikataze kumsaidiaVipi Kama wanawe hawana uwezo au roho mbaya?
Vipi Kama huyo mama alimlea vizuri Sana huyu mdau mfano wa mwanawe wa kumzaa?
Mimi nililelewa vizuri sana na mama wa kambo. Sikuona tofauti yangu na waliolelewa na mama zao wa kuwazaa.
Huyu mama nimekaa nae kwa mda mwezi mmoja tu kwenye maisha yangu mpaka sasa ila sasa nachojiuliza kwanini mzee anikatazeVipi Kama wanawe hawana uwezo au roho mbaya?
Vipi Kama huyo mama alimlea vizuri Sana huyu mdau mfano wa mwanawe wa kumzaa?
Mimi nililelewa vizuri sana na mama wa kambo. Sikuona tofauti yangu na waliolelewa na mama zao wa kuwazaa.
Nataka nimwambie bi mkubwa nilichoambiwa na mtalaka wakeKwa hekima uliyokuwanayo wewe maoni yako yapi katika hili
Kuhusu kunilea ki ukweli sikuwahi kuishi nae kwa mda mrefu1. Baba yako anamjua mkewe kuliko wewe, kwa hiyo lazma ujitahidi kujua dhumuni la kukukataza
2. Inategemea mliishije. Kama alikulea kama mwanae wa kumzaa. Hiyo inakuwa case tofauti kwa sababu kama yeye hakukufanyia ubaya, ukianza wewe, si tu utavunja mahusiano nae lakini pia kwa watoto wake.
Jaribu kuongea na mzee ujue sababu
Kama mahusiano yenu yapo sawa then muulize baba.Kuhusu kunilea ki ukweli sikuwahi kuishi nae kwa mda mrefu
Mbali na maneno ya baba yako bado unaona kuna uzuri aliyenao mama huyo. Endelea wewe kuona uzuri au upendo huo kwa mama huyo. Wengine tunaishi mbali na wazazi wetu na tunakutana na wamama wanaotuonyesha upendo kama walivyokuwa nao kwa watoto wao.Huyu mama nimekaa nae kwa mda mwezi mmoja tu kwenye maisha yangu mpaka sasa ila sasa nachojiuliza kwanini mzee anikataze
Nataka nimwambie bi mkubwa nilichoambiwa na mtalaka wake
Msikikize baba yako.Huyu mama nimekaa nae kwa mda mwezi mmoja tu kwenye maisha yangu mpaka sasa ila sasa nachojiuliza kwanini mzee anikataze kumsaidia