Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,501
- 6,201
Hama kapange kuepuka hiyo kuitana weweMke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa.
Nimekaaa nae yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja.
Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita wewe badala ya jina lake.
Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?
Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app