Baba yangu alichanganyikiwa au?

"ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni.." Baba yako hili neno lilimkaa sana..
 
Kuna roho za ajabu sana kwenye maisha yetu

Baba yako kashakuambia yeye aliridhika, sasa wewe kama hujaridhika pambana ufanikiwe kwaajili yako na wengine
 
Nyerere na sera zake za ujamaa aliharibu Sana watu suala la upambanaji lilizikwa hapo

UZALENDO bila PESA huo n mzigo

Watoto wa nyerere wanagombania ubunge wao kwa wao baba Yao hakuwekeza kwa familia



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwelii sio baba yako mtafuta baba yako. kwa story ulivyoandika huyoo mzee anaonekana alikuwa bright hawez kuwa na toto jinga kama wewe.

Unatukana mamba kabla hujavuka mto.
 
Maisha ni hadithi ndefu sana, Kuna wakati unaweza usiyaelewe vizuri.

Baba yako hana tofauti na baba yangu, Ila Mimi baba hakuacha kazi yeye amefanya kazi mpaka anastaafu, kwa kweli Kama ni masuala ya mali sijui uwekezaji yeye hayakumsumbua kichwa kabisa, zaidi yeye ni mtu wa kuhakikisha mezani chakula kipo na vinywaji pia.

Kiukweli yeye ana amani ya kutosha na kwa miaka 35 yote aliyofanya kazi serikalini amewahi kuuguwa na kulazwa mara moja tu, nini nataka kusema unaweza kuwa tajiri wa mali ukawa maskini wa afya, hivyo basi maisha ni yako mwenyewe yaani kuishi ulivyopanga wewe na sio wanavyopanga watu wengine.
 
Back
Top Bottom