Baba yake Joyce Kiria afariki dunia

Baba yake Joyce Kiria afariki dunia

This too shall pass. Nothing is permanent in life whether bad or good. Maliza msiba na henry wako atatoka tu. Dah, i wish ungekuwa dadangu/mdogo wangu. I would have hugged u all night long, and rock u like my baby.
 
1. Unamuita malaya alishawahi kukuuzia? Manake it takes one to know one!

2. Whatever happened to 'innocent until proved guilty? Ama unahukumu ki-ccm kwa tamko?

3. Marehemu kuenda kwake jehanam kunahusikaje na dhambi (kama ipo) ya mkwewe?

Hekima na ustaarabu ungeuzwa dukani tungekukopea. Itikadi imekulewesha utu wako ukatoweka.
.........mtoto wa nyoka ni nyoka..kafa Joka kuu..
 
...dah!...pole sana dada,MUNGU akupe moyo wa ustahimilivu ushide mitihani hii...
 
...dhu uko ...10% kufikia ukombozi jitahidi kupiga hatua tisini kutoka huko.....

kama unaweka comment then unaji qoute na kujijibu utaweza kufanya la maana wewe? Very low.. Look at u!
 
Ni mtihani mwingine mgumu kwa dada Joyce Kiria, simama imara kwani mwisho wa siku pamoja na yote haya maisha lazima yasonge mbele.... Poleni sana
 
Malipo hapahapa duniani. hayo ni malipo ya aliyemwagiwa tindikali na bado.
 
Pole sana dada, mwangalie Mungu tu katika yote unayopitia atakupa faraja, amani, nguvu na uvumilivu.
 
Shetani......

awaandalie makazi YA MOTO WA MILELE... huko Jehanam WOTE wasioitakia Mema CHADEMA.........

wote tuseme AMINA....

Mkuu be serious. Jitahidi kufikiri kabla ya kupost comment yako.
 
Back
Top Bottom