yeah, misfortunes never come singly!Nilipata kusikia Waswahili wakisema Hakuna Msiba Usiokuwa na Mwenzie! Sijahakikisha kuwa hili ndilo linalompata dada yetu Joyce, lakini linaendana.
Kaza roho Joyce na jiandae kwa lolote! Nawakumbuka wanao siku ile wakisema "baba yetu yuko? inasikitisha"
Pumzika kwa amani mzee Kiria.
Shetani......
awaandalie makazi YA MOTO WA MILELE... huko Jehanam WOTE wasioitakia Mema CHADEMA.........
wote tuseme AMINA....

amina..ongeza kuni huko JEHANAMU wakonjiani....
ulivyo mjinga na ushetani wako unajijibu mwenyewe. Wamirembe utawajua tu
...dhu uko ...10% kufikia ukombozi jitahidi kupiga hatua tisini kutoka huko.....Mungu amlaze pema peponi lakini kilewo ahukumiwe miaka mingi kwa unyama wake wa kumwagia watu tindikali
!!!amen!!!mungu amsamehe baba yetu zambi zake zote, na kama zilikuwepo ziende kwa mwigulu mwana kulaaniwa huyu.