okiwira JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,449 Reaction score 3,832 Oct 15, 2018 #121 Mkuu hawa Chadema ili kumpata Mkuu Saa8 ni vizuri waombe ushauri kwa Halima Mdee. Nguvu ya Umma Haijawahi shindwa. Kawashauri Simba wako wanajianda kuufanyia kazi ushauri Mbao za Mawe said: Unataka kujua ilichukua hatua gani kama nani? Nimeleta habari bado unasema uzito wa mzazi ni mdogo ulitaka familia ichome moto vituo vya polisi ujue kuwa mzazi wa Ben ana hasira? Click to expand...
Mkuu hawa Chadema ili kumpata Mkuu Saa8 ni vizuri waombe ushauri kwa Halima Mdee. Nguvu ya Umma Haijawahi shindwa. Kawashauri Simba wako wanajianda kuufanyia kazi ushauri Mbao za Mawe said: Unataka kujua ilichukua hatua gani kama nani? Nimeleta habari bado unasema uzito wa mzazi ni mdogo ulitaka familia ichome moto vituo vya polisi ujue kuwa mzazi wa Ben ana hasira? Click to expand...
T TIBIM JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 8,010 Reaction score 7,969 Oct 15, 2018 #122 Barbarosa said: Hivi unaweza kweli kupotelewa mtoto wa kuzaa kwa muda wote huo na usiseme chochote popote pale? Uchungu wa mwana uko wapi hapo? Click to expand... Watembee KG au S'WANGA wakapige kombora ukoo mzima usambaratishwe
Barbarosa said: Hivi unaweza kweli kupotelewa mtoto wa kuzaa kwa muda wote huo na usiseme chochote popote pale? Uchungu wa mwana uko wapi hapo? Click to expand... Watembee KG au S'WANGA wakapige kombora ukoo mzima usambaratishwe
S spleen JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 4,681 Reaction score 7,984 May 1, 2020 #123 Wa kumuangukia ni mungu pekee tu,.......... Sent using Jamii Forums mobile app
M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,511 Reaction score 6,892 Mar 17, 2021 #124 Ila kuna watu wabaya sana,yaani unampoteza mwana wa mwenzio kiutani utani
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,758 Reaction score 42,874 Mar 17, 2021 #125 Hatuna la kufanya zaidi ya kumuomba Mungu,” alisema mzazi huyo.
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,758 Reaction score 42,874 Mar 17, 2021 #126 Marwa_J_Merengo said: Ila kuna watu wabaya sana,yaani unampoteza mwana wa mwenzio kiutani utani Click to expand... Inaumiza sana
Marwa_J_Merengo said: Ila kuna watu wabaya sana,yaani unampoteza mwana wa mwenzio kiutani utani Click to expand... Inaumiza sana