Baba Ya Kanumba

Simsikii kwenye hii msiba, nasikia mama yake tu. vipi amesusa?
 
alisema mwanaye apelekwe shinyanga kuzikwa, naona wamekaidi naye anaendelea na shuhuli zake huko shinyanga.
 
Hata mimi nashangaa, labda mzee wa watu amejiweka kando kwa kuwa mwanae alishautangazia uma kwamba ham-mind baba'ke.
 
atakuwepo, yule mzee ni mtu sana pengine kama mwanaye,
alikuwa nategemea kuja bongo jana, baba yule siyo mbishi kabisa,
R.I.P Kanumba.
 
Bora hawakwenda shy hapo Leaders tu hapatoshi kabisa
 
ni kama nimesikia yupo msibani.

Kwani umeuliza kwa sababu gani? umefuatilia au?
 
ni kama nimesikia yupo msibani.

Kwani umeuliza kwa sababu gani? umefuatilia au?[/QUO

Sijasikia akitajwa kwenye protocol wala popote.
ndiyo sababu iliyonipelekea kuuliza mzurumie
 
Back
Top Bottom