kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,073
- 6,639
Ukiona umemuuliza mtu swali akaja na matusi badala ya jibu, ujuwe ukweli umemuingia na hana jibu.
Black Widow
Ukiona umemuuliza mtu swali akaja na matusi badala ya jibu, ujuwe ukweli umemuingia na hana jibu.
Jamani kula mwili wa mtu si "cannibalism" hiyo?
Nijuavyo ni wachawi ndio wanakula mwili na damu ya mtu.

Jibu swali:
Jamani kula mwili wa mtu si "cannibalism" hiyo?
Nijuavyo ni wachawi ndio wanakula mwili na damu ya mtu.
Kwani nyie wavaa ushungi, tunawawafira kwa kulinda bikra, kuna mtu amewahoji.... mnavaa mashuzi mpaka uchi unaoza kwa joto! Kuna mtu kaulizsa, huo ndio uchawi sasa..utamaduni wako kuna mtu kahoji..?kenge wewe
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake
Luka 22:19
....akatwaa mkate, akashukuru, akaumega akawapa akasema (huu ndio mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu)
Chochote kinacholiwa/kunywewa kinatumika kama ishara ya mwili wa Kristo.
Jamani kula mwili wa mtu si "cannibalism" hiyo?
Nijuavyo ni wachawi ndio wanakula mwili na damu ya mtu.
Hili la utakatifu lataka uchambuzi yakinifu,,, kwanza ile video ambayo ili postiwa humu na Mzizi Mkavu inataka majibu adhimu kabla hatujamuita mtakatifu
Mbona ipo kwenye mabano "brackets", hiyo inamaanisha hayo maneno hayapo kwenye biblia na umeyaongezea wewe.
Jamani kula mwili wa mtu si "cannibalism" hiyo?
Nijuavyo ni wachawi ndio wanakula mwili na damu ya mtu.
Tukuulize weye unayemlenga je umemuona hadi umlenge? ?