FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Huyu ni mwanadamu, hulka ya mwanadamu yeyote kuwa na mawazo yake, uelewa wake na maamuzi yake.
Hili linathibitishwa na uwepo wa
1. madhehebu mengi ya imani kwa wakristo, mitazamo na maono tofauti tofauti kulingana na uelewa wao
2. madhehebu mengi ya imani za waislam, mitazamo na maono tofauti kulingana na uelewa wao.
Huyu hawezi kuwa msemaji wa wakristo wote wa Roman catholic unless utueleze huyu ni Papa. Nikichaa tu aliyetowa maelezo yake kama ilivyo kwa vichaa wengi Duniani wanaoufanya uislam uonekane dini ya vurugu
Boko haramu wauwaji na watesaji wa binadamu wasionamakosa tena wadini zote
Alshabab, ISI nk wote watakueleza wanapigania Uislam lakin siamini hivyo nadhani niwahuni ambao kimtazamo kama
huyu unayemtetea hapa wanahulka na matatizo yao ya kiakili.
Bimkubwa FaizaFoxy si vema kuchafua jukwaa makusudi ukijenga hoja kuchafua imani za watu
nakuzuwa mijadala isiyonatija.
Jibu:
Jamani kula mwili wa mtu si "cannibalism" hiyo?
Nijuavyo ni wachawi ndio wanakula mwili na damu ya mtu.