Baba wa mwanakwaya aliyeuawa ajutia posa ya mwanaye

Baba wa mwanakwaya aliyeuawa ajutia posa ya mwanaye

wewe ni mpuuz sana mjinga mkubwa unasema kwamba uumizwe had ushindwe kutoa msamaha?iv unaakili kweli wewe ? kuumizwa kimapenz ni nini ewe mjinga had utoe uhai wa mwenzako ukimegewa nawe tafuta mnyonge umumegee siyo kutoa uhai wa mwenzako haya mwenzako katoa uhai wa dada wa watu saahivi analiwa tigo huko segerea

et maumivu ya mapenz yaan mnaua binadam wenzenu kisa maumivu ya mapenz au mnamapepo nyie wendawazimu

maumivu ya mapenz ndo upuuz gan yaan watu tuumizwe na maumivu ya kusaka pesa alafu na wewe unakuja na upuuz wa maumivu ya mapenz
Inawezekaana nikaanza kutukanana na ww kumbe hata hisia halisi huna bichwa limejaa bangi tu hapa ni watu wazima tunaongelea mapenzi uanayoelekea ndoa ama ya ndani ya ndoa tayari ambayo dedication zake mtoto kama ww unaejiita a boy huwezi kuyaelewa. Kwa taarifa yako humo ndani ya ndoa hata hizo hela tunazotafuta ni mapenzi ndio yanatupa nguvu na utulivu wa kuongeza spidi ya kutafuta zaid maana tunatafuta hela kwa ajili ya familia na hivyo uasi huvuruga vitu vingi sana hata huo utafutaji unaousema ww.
Nikukanye tu usidhani tunaongelea yale mapenzi ya watoto wenzako mpuizi ww, hii ilikuwa ni nusu ndoa tayari.
 
bangi itoke kwako mwenye pepo la kiuaji ije kwangu
 
Kuachwa wanaume tunawezaga kuvumilia lakini sio kuachwa mbele ya jamii nzima ya kanisa na koo zote mbili zikiwazimewekewa wazi mapenzi hayo kuwa yapo na yatawekwa rasmi karibuni.
Nani anayejua ukweli kuwa binti alimuacha huyu mchumba?
 
wewe ni mpuuz sana mjinga mkubwa unasema kwamba uumizwe had ushindwe kutoa msamaha?iv unaakili kweli wewe ? kuumizwa kimapenz ni nini ewe mjinga had utoe uhai wa mwenzako ukimegewa nawe tafuta mnyonge umumegee siyo kutoa uhai wa mwenzako haya mwenzako katoa uhai wa dada wa watu saahivi analiwa tigo huko segerea

et maumivu ya mapenz yaan mnaua binadam wenzenu kisa maumivu ya mapenz au mnamapepo nyie wendawazimu

maumivu ya mapenz ndo upuuz gan yaan watu tuumizwe na maumivu ya kusaka pesa alafu na wewe unakuja na upuuz wa maumivu ya mapenz
Wewe hujawahi kumpenda mwanamke katika historia ya maisha yako,ila siku ukipenda utakuja useme mwenyewe
 
Uyu mwanaume ni mjinga yani mwanamke tena mchumba kakusaliti una mnyonga uwo ni ufala wa hali ya juu tena ni kutokukosa busara aisee liache likaozee jera sasa...utamuwaje mwanamke mbn sisi tunasalitiwa sana ila tunasamehe na kumuacha mwanamke na kumove on yani wanawake wote hao haya sasa litaenda geuzwa mke uko jera mana limetaka lenyewe#funzo vijana wa kiume ukisalitiwa na mpenzi wako muacha uyo mpenzi wako kwa amani tafuta mwengine usimdhuru wala kumuuwa#
Usiongee hujui maumivu anayoyapata mtu baada ya kusalitiwa.
 
Ila inategemea na kiwango cha kutendwa.....

Aisee kuna mtu anacheza na hisia zako hadi unachotaka ni yeye pia kupatwa na maumivu makali kupita yako akome.....

Kiukweli, mahusiano ya kufanyiana mizaha huwa yanaishia vibaya.....wewe kama unajua haumtaki mtu mwambie mapema na usikubali afanye chochote utakuwa umemsaidia.....

Mtu unajua haumkubali unaenda tu kama bendera fuata upepo, mwisho wa siku unajikuta umekwenda naye mbali na kitendo cha kumuacha ghafla huwa kinaleta mvurugiko mkubwa sana wa akili......

Sawa si sahihi kuuwa hata mimi napinga.....lakini je ni sahihi kucheza na hisia za mtu halafu uje kumuacha ghafla na solemba bila sababu za kimsingi....?!
Fact.
 
haya mambo huwezi jua upande wa pili, yawezekana mariam amechangia kifo chake mwenyewe, yawezekana ametumia gharama nyingi na kuanza danadana km madenge unategemea jamaa atafanyaje?
ww mchumba wa mtu hupatikani hewan halafu unakutwa kwa shoga kweli.
haya mambo yamenikuta
Sasa mkuu ndo uue?kwani wanawake wameisha? Ni ujinga tu,good enough kakamatwa,mwache akanyee ndo maisha take yote.
 
hv unajua hawa wanawake sio kabisaeee ninamifano mingi sana iliyosababishwa na wadada kupelekea mauaji ya wakaka au wachumba wao
 
Back
Top Bottom