Baba wa mwanakwaya aliyeuawa ajutia posa ya mwanaye

Mkuu uskute kesho na wewe ukaenda
Kwenda sio shida ila MUNGU aepushe tatizo tunalolaani ni ule unafiki wa wanawake kwenye mapenzi mpaka shetani akamreap kiroho mbaya namna hiyo . Huyo alidanganywa na uzuri wake hakujali kama kumtosa mwenziwe wakati kama huo impact yake ingekuwaje.
 
haya mambo huwezi jua upande wa pili, yawezekana mariam amechangia kifo chake mwenyewe, yawezekana ametumia gharama nyingi na kuanza danadana km madenge unategemea jamaa atafanyaje?
ww mchumba wa mtu hupatikani hewan halafu unakutwa kwa shoga kweli.
haya mambo yamenikuta

Lakini haihalalishi kumtoa uhai hata kama angemfumania uhai wa mtu unathamani kuliko kitu chochote kile.
 
Kwenda sio shida ila MUNGU aepushe tatizo tunalolaani ni ule unafiki wa wanawake kwenye mapenzi mpaka shetani akamreap kiroho mbaya namna hiyo . Huyo alidanganywa na uzuri wake hakujali kama kumtosa mwenziwe wakati kama huo impact yake ingekuwaje.
Hivi kumbe alimtosa .. Mtu ..hii story siipati vzur .. Hebu nielekeze vizur .. Hii ishu imekaaje
 
Uyu mwanaume ni mjinga yani mwanamke tena mchumba kakusaliti una mnyonga uwo ni ufala wa hali ya juu tena ni kutokukosa busara aisee liache likaozee jera sasa...utamuwaje mwanamke mbn sisi tunasalitiwa sana ila tunasamehe na kumuacha mwanamke na kumove on yani wanawake wote hao haya sasa litaenda geuzwa mke uko jera mana limetaka lenyewe#funzo vijana wa kiume ukisalitiwa na mpenzi wako muacha uyo mpenzi wako kwa amani tafuta mwengine usimdhuru wala kumuuwa#
 
Hatujui mkuu ila tunajaribu tu kufanya reasoning za kishushu ili kuunganisha dots jawabu lipatikane.
Tukio lenyewe limetokea kabla ya posa na watu wanaoelekea posa issue kubwa kati yao inakuwa ni jambo moja tu la posa basi wakilala wakiamka.
 
Baba wa Mariam mwimbaji wa kwaya ya vijana ya kanisa la AICT Chang'ombe (CVC) jijini Dar es Salaam, Charles Lutonja amesema hakujua kama 'posa' ingeondoa uhai wa mwanae na sasa amemwachia Mungu.

Mariam anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mchumba wake katika nyumba ya kulala wageni iliyopo Buza jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Mwananchi leo, Lutonja alisema taarifa juu ya posa ya mwanae ilifikishwa kwa misingi ya maadili hivyo hawakuwa na wasiwasi juu ya muoaji.

"Posa ilipokelewa vizuri, walikuja na washenga tena hata kanisa lilisaidia kusimamia jambo hili," alisema na kuongeza:

"Tena barua ya posa ilipokuja nilimuachia mjomba wake apokee nilikuwa safarini, sikutarajia kama posa ya mwanangu ingesababisha mauti ayke."

Rafiki wa karibu wa Mariam, Jesca Julius alisema alimuona mchumba wa Mariam siku moja kabla ya mauaji.

"Alichati na mimi, alinitafuta baada ya kumkosa Mariam kwenye simu lakini baadae akaja akanikuta na Mariam. Nilimuuliza mbona umekuja ghafla? akasema eeh basi nikamkaribisha, hakukaa," alisema.

Mwenyekiti wa vijana katika mtaa wa Keko, Paul Peter alisema isingekuwa rahisi kwa wazazi kujua tabia za ndani za kijana huyo kwa sababu alijificha kwenye mwavuli wa kwaya.

"Ni tukio la kusikitisha kwa sababu namfahamu Mariam tangu mdogo, alikuwa binti mstaarabu. Hata kijana mwenyewe alikuja kipole na kiungwana isingekuwa rahisi kumjua," alisema.
Maisha ni bahati nasibu, hakuna mwenye udhibiti nayo hasa familia inapoongezeka na kuingiza watu wa familia tofauti.
 
Hatujui mkuu ila tunajaribu tu kufanya reasoning za kishushu ili kuunganisha dots jawabu lipatikane.
Tukio lenyewe limetokea kabla ya posa na watu wanaoelekea posa issue kubwa kati yao inakuwa ni jambo moja tu la posa basi wakilala wakiamka.
Labda hajamuua ... Au mshikaj aliambwa ana kibahundred
 
Kwenda sio shida ila MUNGU aepushe tatizo tunalolaani ni ule unafiki wa wanawake kwenye mapenzi mpaka shetani akamreap kiroho mbaya namna hiyo . Huyo alidanganywa na uzuri wake hakujali kama kumtosa mwenziwe wakati kama huo impact yake ingekuwaje.
Ila ujue watu huwa wanachukulia poa sana maumivu ya hisia ......ila kwa mtu anayeelewa uzito wa maumivu ya hisia za mapenzi, atafahamu kuwa maumivu ni makali sana.....

Na huweza kumbadili mtu mpole na kumpa ukatili wa dakika kadhaa akafanya tukio la ukatili ili kutibu zile hisia.....

Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa jinsia ipi inaongoza kwa kusababishia jinsia yingine.....ila kesi nyingi huwa zina involve wanawake kucheza na hisia za wanaume sababu wanawake hujiona ni wahanga hata kabla ya kutendwa bali kwa story za kuhadithiwa na wanawake wenzao waliokwisha tendwa.....!
 
Uyu mwanaume ni mjinga yani mwanamke tena mchumba kakusaliti una mnyonga uwo ni ufala wa hali ya juu tena ni kutokukosa busara aisee liache likaozee jera sasa...utamuwaje mwanamke mbn sisi tunasalitiwa sana ila tunasamehe na kumuacha mwanamke na kumove on yani wanawake wote hao haya sasa litaenda geuzwa mke uko jera mana limetaka lenyewe#funzo vijana wa kiume ukisalitiwa na mpenzi wako muacha uyo mpenzi wako kwa amani tafuta mwengine usimdhuru wala kumuuwa#
Ila inategemea na kiwango cha kutendwa.....

Aisee kuna mtu anacheza na hisia zako hadi unachotaka ni yeye pia kupatwa na maumivu makali kupita yako akome.....

Kiukweli, mahusiano ya kufanyiana mizaha huwa yanaishia vibaya.....wewe kama unajua haumtaki mtu mwambie mapema na usikubali afanye chochote utakuwa umemsaidia.....

Mtu unajua haumkubali unaenda tu kama bendera fuata upepo, mwisho wa siku unajikuta umekwenda naye mbali na kitendo cha kumuacha ghafla huwa kinaleta mvurugiko mkubwa sana wa akili......

Sawa si sahihi kuuwa hata mimi napinga.....lakini je ni sahihi kucheza na hisia za mtu halafu uje kumuacha ghafla na solemba bila sababu za kimsingi....?!
 
Ni vile Marehemu hapaswi kusemwa hako katoto kalikuwa kanakaa keko hapo NHC block C ..hii sifa ya kwaya anayo pambwa nayo imezidi sasa anyway R.I.P
 
Unaona sasa watu wanajua maisha yake huko.......mtu hawezi tu kumuua mtu tu kuua inataka maumivu yawe makali sana kiasi kwamba ujione akili zote zinagoma kutoa msamaha na ujione kama dunia yote inaishia hapo, ni jambo linaloweza kumfunika mtu nafsi na roho kwa giza zito hata asione kuwa kuna kesho ndio linaweza kumfanya mtu atende jambo la kuua tena zaidi kumuua mtu uliyempenda kuliko wote!
Wacha avune alichopanda na Mungu amuweke anapostahili Ameen!
 
Ila inategemea na kiwango cha kutendwa.....

Aisee kuna mtu anacheza na hisia zako hadi unachotaka ni yeye pia kupatwa na maumivu makali kupita yako akome.....

Kiukweli, mahusiano ya kufanyiana mizaha huwa yanaishia vibaya.....wewe kama unajua haumtaki mtu mwambie mapema na usikubali afanye chochote utakuwa umemsaidia.....

Mtu unajua haumkubali unaenda tu kama bendera fuata upepo, mwisho wa siku unajikuta umekwenda naye mbali na kitendo cha kumuacha ghafla huwa kinaleta mvurugiko mkubwa sana wa akili......

Sawa si sahihi kuuwa hata mimi napinga.....lakini je ni sahihi kucheza na hisia za mtu halafu uje kumuacha ghafla na solemba bila sababu za kimsingi....?!
Kuachwa wanaume tunawezaga kuvumilia lakini sio kuachwa mbele ya jamii nzima ya kanisa na koo zote mbili zikiwazimewekewa wazi mapenzi hayo kuwa yapo na yatawekwa rasmi karibuni.
 
The man anaetuhumiwa kufanya hivi can be saved kama akihitaji kuokolewa kisheria lakin , amin nakwambia huyo rafiki mtu anaesifia huyo dada hata ingekuwa mm ningesifia cz ni my friend but trust me kuna behind the scene tusioijua , eniwei RIP
 
Unaona sasa watu wanajua maisha yake huko.......mtu hawezi tu kumuua mtu tu kuua inataka maumivu yawe makali sana kiasi kwamba ujione akili zote zinagoma kutoa msamaha na ujione kama dunia yote inaishia hapo, ni jambo linaloweza kumfunika mtu nafsi na roho kwa giza zito hata asione kuwa kuna kesho ndio linaweza kumfanya mtu atende jambo la kuua tena zaidi kumuua mtu uliyempenda kuliko wote!
Wacha avune alichopanda na Mungu amuweke anapostahili Ameen!
wewe ni mpuuz sana mjinga mkubwa unasema kwamba uumizwe had ushindwe kutoa msamaha?iv unaakili kweli wewe ? kuumizwa kimapenz ni nini ewe mjinga had utoe uhai wa mwenzako ukimegewa nawe tafuta mnyonge umumegee siyo kutoa uhai wa mwenzako haya mwenzako katoa uhai wa dada wa watu saahivi analiwa tigo huko segerea

et maumivu ya mapenz yaan mnaua binadam wenzenu kisa maumivu ya mapenz au mnamapepo nyie wendawazimu

maumivu ya mapenz ndo upuuz gan yaan watu tuumizwe na maumivu ya kusaka pesa alafu na wewe unakuja na upuuz wa maumivu ya mapenz
 
Wanakwaya wanafiki sana yani nibola hata kahaba anaejiuza wamejificha kwenye upepo wa kwaya ila nimafuska wakubwa
 
Back
Top Bottom