Baba wa Mhe. Joseph Selasini Afariki

Baba wa Mhe. Joseph Selasini Afariki

Pole sana Kamanda Selasini Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu!
 
Mungu awape nguvu watoto na ndugu wa Mzee Selasini katika kipindi hiki cha majonzi.
 
''Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema,Andika,Heri wafu wafao katika bwana tangu sasa.Naam,asema Roho.Wapate kupumzika baada ya taabu zao;kwa kuwa matendo yao yafuatana nao''.Amen.
Poleni watoto wa marehem kuanzia na Dr.Lamwai,ukoo mzima na wale wote waliohuzunishwa na msiba huu.
(Mariki familly)
 
pole,
ila hiyo ni mipango ya Mungu, yeye alitoa na sasa ametwaa jina lake libarikiwe.
 
TANZIA:

Baba yangu Mzazi Mzee Roman Selasini Amefariki Jioni ya Leo saa 12:15 Katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akiendelea na Matibabu.
R.I.P My Dad.

Pole sana Mhe. na R.I.P mzee wetu Roman.
Mwenyezi Mungu ampe raha ya milele na mwanga wa milele amuangazie, astarehe kwa amani. Amina..
 
Kwa niaba ya chama chetu cha ADC (nikiwa MwanaJF) nakupa Pole zetu kwa msiba huu mkubwa kwako na kwa familia yako MHE. Selasini kwa ujumla. Tunaelewa kwamba hiki Ni KIPINDI kigumu mno kwako na hata kwa chama CHAKO cha Chadema hasa ukitilia maanani ni miezi michache tu iliyopita ulipata ajali mbaya iliyopelekea kuondokewa na wapendwa wako.
Bwana alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe. Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi.
Ameen.
 
hyo yote ni mitihani ya mwenyezi mungu atakuvusha raha ya milele umuangazie marehemu apumzike kwa amani ya bwana amen
 
Back
Top Bottom