TANZIA:
Baba yangu Mzazi Mzee Roman Selasini Amefariki Jioni ya Leo saa 12:15 Katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akiendelea na Matibabu.
R.I.P My Dad.
Joseph Roman Selasini
MB-Rombo
CHADEMA
Source: Mhe. Selasini on Social Networks
Pole sana kamanda.mungu ampokee baba yetu kwenye ufalme wake wa milele.
TANZIA:
Baba yangu Mzazi Mzee Roman Selasini Amefariki Jioni ya Leo saa 12:15 Katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akiendelea na Matibabu.
R.I.P My Dad.
Joseph Roman Selasini
MB-Rombo
CHADEMA
Source: Mhe. Selasini on Social Networks
TANZIA:
Baba yangu Mzazi Mzee Roman Selasini Amefariki Jioni ya Leo saa 12:15 Katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akiendelea na Matibabu.
R.I.P My Dad.
Joseph Roman Selasini
MB-Rombo
CHADEMA
Source: Mhe. Selasini on Social Networks
Ni ndugu hawa Baba mmoja mama mmoja. Mkubwa ni Dr Masumbuko Lamwai.kwani dr masumbuko lamwai na mh joseph selasini ni ndugu?
pole sana sana na msiba mhe mzee Romani alikuwa ni Diwani wa CCM Kwa muda mrefu sanaPole sana mheshimiwa,Mungu akupe nguvu ktk wkt huu mgumu usimame imara.