Baba wa Mhe. Joseph Selasini Afariki

May his Soul Rest in Eternal Peace. Amen

Pole Mhe. Selasini Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
 
Pole msee!!!!
Ila tunakupa pole unakuja kumsifia jk "y"
enewei, pole meku.
 
Ama kweli Mheshimiwa anapita ktk wakati mgumu!

Ila kwa kuwa tuna MUNGU aliye hai hakika tutashinda hata haya majaribu!
Pole sana Mh MB pole sana!
MUNGU akutie nguvu na hata upite salama salimin ktk wakati huu mgumu!

Baba yetu lala kwa Amani ya Bwana wetu YESU KIRSTO aliye hai!

Bwana ametoa na Bwana ametwaa! Jina lake na lihimidiwe!
Ameen!
 
pole sana MB .Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki.Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe
 
Pole sana Mh.Mbunge.mwenyezi Mungu wa Rehema akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Mungu ampe Pumziko la Milele Mzee Romani.Umetangulia tupo njiani....
 
R.I.P. Mzee Roman Selasini, tulikupenda sana, lakini Mungu kakupenda zaidi yetu. Pole sana Joseph, jipe moyo, hayo hayana budi kutukia duniani.
 
Pole sana sana. Binafsi nimesikitishwa sana sana. Mungu akupe neema ya kusahau mapema
 
Sad.
Jamaa kapoteza watu wengi wa karibu nae kwa kipindi kifupi.
Ye bado hajapona mkono, mkewe bado hajapona shingo baada ya ajali mbaya iliyoua nduguze wengine.
Pole sana Kamanda
Pole sana mheshimiwa,Mungu akupe nguvu ktk wkt huu mgumu usimame imara.
 
Back
Top Bottom