Baba wa kambo wapewe maua yao

Salaam,

Baba wa kambo wengi wanaroho ya pekee sana, huwalea kwa upendo mkubwa sana watoto wa kambo kuliko hata watoto wakuzaa.

Mwanangu wa ujanani, kalelewa vyema sana na baba wa kambo, hakika hawa watu wanastahili maua yao, kwa mioyo yao ya pekee.
Akili huna wewe. Umekuja kufungua uzi jf kuwa kuna mwanaume wa shoka anakulelea vyema mwanao.....big up sana kwa mama wa mtoto hakuishia kuolewa wewe
 
Wabarikiwe sana,Cha kushangaza watoto wao wa damu waliowaacha Kwa single mama zao hawawahudumii.
 
Akili huna wewe. Umekuja kufungua uzi jf kuwa kuna mwanaume wa shoka anakulelea vyema mwanao.....big up sana kwa mama wa mtoto hakuishia kuolewa wewe
kabla ya kusema sina akili, ulipaswa kujua kwanza sababu ya jambo hili kutokea then ndo unitoe akili.
 
Cha kushangaza watoto wao wa damu waliowaacha Kwa single mama zao hawawahudumii.
kwa sehem kubwa hili huchangiwa, na mzazi wa kike, mfano mkiachana hua wanabaki na vinyongo na humtumia mtoto kama fimbo ya kukuchapia, jambo ambalo huumiza, nawe kama mwanadam utachoka kuona ukijipendekeza na kuamua kususa kwa muda mpaka atakapouona umuhimu wako ktk malezi, japo kuna wengine hubaki na vinyongo daima.
 
nimeshangaa wewe ulimtelekeza uje kumsifia kwa jamaa mwingine, kwanza ulimfuatilia wanini baadaye?

Sent using Jamii Forums mobile app
umelitizama kwa upande 1, ndo maana umeshangaa, sikumtelekeza ila hakukua na mahusiano mazuri na mzazi mwenza, licha ya kufanyika juhudi kubwa kuweka mambo sawa ila hazikuzaa matunda.

Baada ya vinyongo vyake kuisha alinitafuta mwenyewe.
 
Ungemwacha tuu, kama jamaa alishamhesabia kama mtoto wake, aendelee kuwa wake....!

Fatherhood is social not biological! Always remember this

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam,

Baba wa kambo wengi wanaroho ya pekee sana, huwalea kwa upendo mkubwa sana watoto wa kambo kuliko hata watoto wakuzaa.

Mwanangu wa ujanani, kalelewa vyema sana na baba wa kambo, hakika hawa watu wanastahili maua yao, kwa mioyo yao ya pekee.
Mwanaume anayejielewa hawezi kukubali mtoto wake akalelewa na mwanaume mwenzake ..

Inshort wewe hujielewi
 
Back
Top Bottom