Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,064
- 1,453
sawa bosskila jambo hutokea kwa sababu, sababu ya jambo hili ni kutotimia ndoto ya kumuoa mzazi mwenza, hivo akamkatalia mtoto ajili ya hasira.
sawa bosskila jambo hutokea kwa sababu, sababu ya jambo hili ni kutotimia ndoto ya kumuoa mzazi mwenza, hivo akamkatalia mtoto ajili ya hasira.
naheshimu maoni yako, japo huijui vyema situation ya jambo hili.Mwanaume anayejielewa hawezi kukubali mtoto wake akalelewa na mwanaume mwenzake ..
Inshort wewe hujielewi
Hakuna cha situation mkuu hapo umezingua sana haiwezekani uache mtoto wako alelewe na Baba wa kambo wakati na wewe uponaheshimu maoni yako, japo huijui vyema situation ya jambo hili.