Baba subiri mama amalize kujipodoa..

Baba subiri mama amalize kujipodoa..

Alola

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
476
Reaction score
300
IMG_115896545947735.jpeg
 
Jamaa kasubiri wife kwenye winter mpaka ameganda dakika tano alizoambiwa haziishi.
 
Jamaa kasubiri wife kwenye winter mpaka ameganda dakika tano alizoambiwa haziishi.

Zuzu huyo kwani kalazimishwa kusubiri nje? Si angerudi ndani? Wanaume wengine majanga
 
Huyo wife karudi kubadili gauni, viatu, pochi, hereni,glass, n.k....na akitoka ukimwambia hajapendeza anarudi tena...so bora uwe mnafiki tu...maana unakuta wife ana magauni 100 na mpaka kunakucha hajajua atavaa lipi
 
Mke ni mke ana haki ya kumsubiri hata kutwa nzima na tafauti na hawara na sisi medume bila wao huwa kama machizi au ndodocha na kuna watu wana wasujudu wake zao na watoto wao
 
Back
Top Bottom