Baba Paroko

Baba Paroko

kwetunikwetu nashukuru sana kwa wimbo, namshukuru na mdau aliye omba huu wimbo!

Rumba ya hatari sana!
 
jamani ivi huo wimbo wa baba paroko kaimba nani...mi nahisi ni sauti ya PAPA WEMBA....naombeni uhakika jamani
Kaimba Francois Makassy, "Franswaa". Na aliuimba baada ya kujitwaalia mke wa kigogo...
 
Kati ya rhumba ninazozikubali hii inaanza

Wimbo mzuri huu
 
Wimbo huu wanikumbusha siku 50 (July-August/2006) ndani ya Bonde la Ngorongoro (crater) ndani ya land cruiser mkonga...nakula good time....

Kwetunikwetu naomba kama una nakala ya wimbo wa miondoko ya mwambao ..."Ewe njiwa peleka salamaaa kwa yuleee....wangu wa moyoni"
 
Back
Top Bottom