Baba paka nyau

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
jamani kama kuna mtu anaukumbuka ule wimbo tulikuwa tunapiga kwenye gwaride la shule ya msing enzi ya mwalimu Kajiba. wimbo wenyewe ulikuwa wa mwndo wa pole. unaitwa baba paka nyau, please!
 
mi nakumbuka ule wa
dada mwajuma ndelele
mwajuma ndelele
kapika ugali ndelele
ugali ndelele
 
Mbona tangu jana naona membars mnatukumbusha ya enzi zile ?
Haya na tukumbushane !
Mimi nimekumbuka :
> Kimos kipili kina mtandala....... Tanganyika msumbwi na ng'aa (hii tulikua tukiimba lakini ukiniuliza maana yake au kilugha gani sitokua na jibu !)
> Kinyuli nyulika mwanangu wa jumbe kavaa nguo mbili........ na arushe.
> Kibunzi kibunzi , cha meme ......
> Da-msitu daa , daa ee daa, ningelikua na kisu kikali ningemkata mkia sebo, aaa aa mkia sebo.
> Nilikwenda msituni , na kobe kanililia....
> Moja mbili tatu wahesabu watu, nne tano sita wameanza vita saba nane tisa wote wamekwisha.
> Ana ana anado kachanika basto.....
Hizo zilikua baadhi ya nyimbo za wakati wetu.
Kwa sasa sidhani kama zipo , sanasana nawasikia watoto wa sasa wakiimba nyimbo kama "HAKUNAGA" wa Suma lee kama nyimbo za kuchezea.
 
mkuu,ile ilikuwaa ni hesabu mpaka kumii...tunaanza. kimosi,kimbili,kinyam,tandala,maguu,teite,rutei,mshumbii,tanganyikaa, na ng'aa yani mojaa,mbili,tatu,nne,tano,sita,saba,nane,tisaa kumii
 
mkuu,ile ilikuwaa ni hesabu mpaka kumii...tunaanza. kimosi,kimbili,kinyam,tandala,maguu,teite,rutei,mshumbii,tanganyikaa, na ng'aa yani mojaa,mbili,tatu,nne,tano,sita,saba,nane,tisaa kumii

Si unaona B'real ! Wanasema hujafa hujaumbika !
Sikuijua maana halisi utotoni, nimeijua ukubwani ! Santa sana !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom