Baba nimefanya mapenzi!

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
538
86
Familia kutoka Tanga iliamia Mombasa.Usiku mmoja baba na kijana wake walikaa pamoja maongez yao yalikuwa ivi;
kijana;baba samahani mimi leo nimefanya mapenzi.
baba;..ooh bila samahani ushakuwa mwanaume mwanangu,safi sana dume langu.
kijana: Ila baba naswali? Kwan we mzoef wa haya mambo.
baba: Uliza tu dume langu,..!
kijana: Ivi haya maumivu mat*k*ni mwangu yanadumu muda gani?
baba:la haula mwanangu umeliwa t**o!!!
Dingi akazimia hapohapo.
 

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Teh tehe tehe, alifikiri amepasua toto la mtu kumbe kapusiliwa yeye !!! Anyway hiyo inatoa funzo kubwa sana kuwa tusishabikie mambo bila kujua.
 

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,236
4,041
mtoto nuksi huyo...lakini mombasa kitu cha kawaida, baba hakutakiwa kuzimia
 

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
237
furukombe wewe hebu nipeleke kwa huyo alie fanya hivi...! pumbafu..! nikifika hapakaliki hapo..!
 

manushiboy

Member
Aug 3, 2011
34
9
dah lazima wazee wawe makini kuwafundisha watoto mambo hayo bila kuwaonea haya hata kidogo coz nau daiz ni dhahama kubwa katika jamii yetu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom