Baba naye awa Chifu wa Wanyakyusa...Mh?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Sasa ndio kamrithi mwanawe au wanyakyusa mna machifu Baba na Mwana?

Uchifu+mbeya+mjini.jpg
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM,Mh. Dr. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na machifu wa Mbeya waliongozwa na Chifu mkuu,chifu Mweshenga mara baada ya kusimikwa uchifu.


Mbeya+-+Machifu.jpg
 
Inaonekana wazee wa kinyakyusa nao ni hamnazo!!! Hata kama ni kujipendekeza basi hii sasa ni too much.
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM,Mh. Dr. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na machifu wa Mbeya waliongozwa na Chifu mkuu,chifu Mweshenga mara baada ya kusimikwa uchifu.


Mbeya+-+Machifu.jpg
Wao wamevaa nguo za kaniki huyu waliyemsimika kavaa the sanda like. Ndio utaratibu wa kiuongozi Mbeya nini?
 
Hahaaa huku mbeya si ndo viongozi wa din walisusia mafutari aliyoandaa
 

JK ndiye Nyakyusa's majestic Chief Mwangupili?

Chief wa Wanyakyusa hauwezi simikwa ukiwa Mbeya Mjini;Wanyakyusa wapo kwa wingi Wilaya mbili tu Mkoani Mbeya nazo ni Kyela na Rungwe na kama unapewa nafasi hiyo kubwa ya kimila unatakiwa uwepo Kyela au Rungwe chini ya amri za "Mafumu"!

Chief Mwangupili huwezi pewa ukiwa Mbeya mjini ambayo ni mbali sana na Nyakyusa land tena eti ukisimikwa kwenye nafasi hiyo na Chief wa wasafwa Mwashenga;hii ni dharau kwetu!

Pia,kwa mila za wanyakyusa,haiwezekani Baba(JK)awe Chief na pia mtoto(Ridhiwan)awe chief wa kabila hilo hilo bila kusubiri kwanza baba yake"aondoke"!Nahisi wamedanganywa!!
 
Back
Top Bottom