Baba nataka kuoa

Baba nataka kuoa

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
"Baba nataka kuoa"

"Huwezi kuoa sasa mwanangu, wewe bado mdogo, lazima ukue na kupata mwanamke unayempenda."

"Nimeshampata baba"

"Umempata! Nani?"

"Bibi"

"Bibi yako ni mama yangu, huwezi kumwoa wewe!"

"Kwa nini nisiweze na ninampenda"

"Huelewi? huwezi kumwoa mama yangu!"

"Mbona wewe uliweza ulimwoa mama yangu?"
 
Duuuu hii kali kama Mtoto ameshtukia dili la kuoana kwa baba na mama
 
Back
Top Bottom