Baba na Mwana

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,511
11,271
Jamaa alienda kumchukua mwanae shuleni baada ya shule kufungwa. Alipopewa ripoti ya maendeleo ya mwanae akaona kuwa mtoto ana matokeo mabaya sana, Sasa wakiwa kwenye Taksi kurudu nyumbani na mwanaye akamuuliza "Umeona wanafunzi wenzako wenye juhudi wakipewa zawadi?" Mtoto naye akamjibu kwa kumuuliza swali "Na wewe umeona wababa wenzako wenye juhudi walivyokuja na Hammer, Range rovers, Benz na Ma-BMW?"

Ungekuwa wewe ndiye Mdingi ungemfanyaje huyo Chalii?
 
Back
Top Bottom