Baba na Mwana:Masuperstar wakiwa na Baba zao.

Baba na Mwana:Masuperstar wakiwa na Baba zao.

Beyonce na Mzee Knowles.

attachment.php
kweli kabisa hapo sijaelewa hata mmoja..labda kuna mtu kama Monica hivi sijui ni yeye?
 
huyo wa kwanza ni Hussain Bolt na baba yake. Sasa subiria Ndomo " Dangote" na baba yake (kama yupo/anafahamika) ni shidaaaaa!!!
 
Mkuu ungechanganya na wabongo ingeleta radha Sana,nimekumbuka kitambo kweli,bro wangu Ni mpenzi Sana wa majarida Kama Ebony na mengineyo maarufu,hapo umenikumbusha mkuu Asante..
 
Back
Top Bottom