Na ana mng'ao fulani usoni siku hizi. Ni nywele zinatiwa rangi nyeusi au kuna analopaka usoni?Huyu ndugu yetu huwa ananifurahisha kwenye nguo anazovaa tu,
Hivi kuna mtu yeyote huwa anamdanganya amependeza[emoji28][emoji28][emoji28]??
Huyo mtoto ndiye anaempangia baba chakufanya, kama hataki kuondoka Bandari ya salama msala tunaoTutegemee mabadiliko ya RC mpya anytime soon...najua Mshana Jr umeona pia kuwa huu ukimya wa mkuu kutokana na makosa mfululizo ya mwanae mpendwa wa hiari,tena ya kipuuzi/kike kike,yatakuwa yanamkosesha usingizi,naamini kuna kitu kinafikiriwa juu yake,tukae tu mkao,standby mode activation!
ili ule msemo wa manung`uniko ya wengi laana,utimie tuheme!
[emoji848][emoji848][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]Tutegemee mabadiliko ya RC mpya anytime soon...najua Mshana Jr umeona pia kuwa huu ukimya wa mkuu kutokana na makosa mfululizo ya mwanae mpendwa wa hiari,tena ya kipuuzi/kike kike,yatakuwa yanamkosesha usingizi,naamini kuna kitu kinafikiriwa juu yake,tukae tu mkao,standby mode activation!
ili ule msemo wa manung`uniko ya wengi laana,utimie tuheme!
Mbona kama mada ni ya baba na watoto wadogo?Kuna jambo limenitafakarisha sana...mahusiano ya baba na mtoto...Kwenye Biblia takatifu kuna simulizi nyingi zinazowahusu baba na mwana...hata Mungu mwenye enzi yote yote anamtaja Yesu Kristo kama mwanae mpendwa
Baba kama mzazi ana nafasi kubwa kiroho kwa mtoto kutokana na kizalia DNA ....baba ana uwezo wa kutoa laana na ikashika na pia ana uwezo wa kubariki na mtoto akabarikiwa
Kwenye dhana nzima ya baba na mwana kuna
Baba halisi
Baba halali
Baba wa kufikia
Baba wa hiari
Baba wa kurithi
Ni katika aina zote hizo za ma baba ....inaweza ikatokea tu kiasili kabisa baba akajikuta anampenda sana mmojawapo wa watoto wake wengi alionao...na sometimes sio lazima awe wa kumzaa yeye....yani mtoto wa kufikia anaweza kupendwa zaidi kuliko mtoto halisi
Mtoto mpendwa kwa baba anapogundua kuwa yeye ndio kipenzi cha dingi kuliko wengine...kwa akili za kitoto huanza kuringa na kufanya mambo ya kijinga mengi akiamini kuwa baba hawezi kumfanya kitu ....kuna wakati anaweza hata kuzusha jambo ama kumsingizia mtu kitu kwa baba, na baba bila kutafakari marambili akamchukulia hatua mtu huyo bila kuangalia uhalisia wa tuhuma zenyewe
Mtoto akiona hivyo huota mapembe na kuvimba kichwa...lakini waswahili wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo...na ngoma ikivuma sana hupasuka.....!!!.ni katika kilele cha upendo wa baba kwa mtoto ndio jambo baya sana hutokea na baba akili kuanza kumrudi taratibu
Ewe mtoto ukishaona baba hatoki tena kwenda na wewe popote iwe bar, kwenye harusi ama mialiko yoyote...ukiona baba hakuiti tena chumbani kwake muongee...ukiona baba hakuiti tena akutume hata dukani...tambua tu kuwa sasa baba upendo umepungua na hakupendi tena kama zamani...utajipendekeza na kujifanya umejutia makosa yako lakini wewe sio wake tena....na akimpata mgeni wa kumpa zawadi anaweza kukugawa bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1548][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wakati baba yuko busy anaweza kukuomba ukamwakilishe kwa niaba lakini sio birthday party
Dunia hii hakuna mtu aitwaye Daud Bashite, piga garagaza, humoati ng'ooo, Aliyedhaniwa ndiye alikataa katakata, labda Mungu aingilie katiHuu uzi ni spesho kwa ndugu Daud Bashite
Sawaaaaaaaaaaaaa.Huko kilimani international futbol ground
Ataitwa kirakaYule baba wa kupandikiziwa; ataitwaje???
PandikiziYule baba wa kupandikiziwa; ataitwaje???