Baba mzazi afumwa akimbaka binti yake chumbani

Baba mzazi afumwa akimbaka binti yake chumbani

Ilikuwaje mara ya kwanza akaachiwa kama alishawah tembea na mwanae

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ..siumesikia kwamba nimuuza nyama maarufu hapo kijijini ..so inaonekana serikali ya kijiji aliiweka mfukoni ..mambo yakawa yana malizwa kimya kimya kwenye dawati la family ...

Ila ndio kama hivyo dunia jinsi ilivyo hii in nature inasheria zake ..ukitoka nje ya hizo sheria ipo siku lazima itakuumbua mbele za watu na kukuadhibu tu ... haijalishi unajificha kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawataki kuisoma namba ..so wameamua kuzitafuta hela ... vyovyote vile iwezekanavyo .... hii ni hatari sana ..

Dahh ila kuna watu wamevurugwa aise...yaani unambaka mtoto wako !!
Mbaya zaidi nyumbani kwako na mkeo anashuhudia ..ptuuu " ...

Huu mfumo dume huu " unapaswa kupunguzwa makali kidogo aise

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa huu mfumo dume sio mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa huu mfumo dume sio mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha nimzuri bwana ...ila upunguzwe makali kidogo .... serikali na taasisi binafsi zijitahidi kuiepeleka vyema elimu vile inavyo stahiki ..huko vijijini ...hii itasaidia kuweza. Kuwafanya watu wawe na utu baina ya wao kwa wao ... pia taasisi za kidini zikawekeze uwokovu kwa wingi
huko itasaidia kuwafanya watu wengi waweze kuwa na hofu ya mungu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sanga bila shaka ni mkinga huyu. Miezi kadhaa mbele utasikia kanunua malori na mabus ya abiria
Mashabiki wao utawasikia Wanasave Sana yaani hawana matumizi ya hovyo ndio maana wanakuwa matajiri,*****
 
Back
Top Bottom